Gideon Mbuvi Mike 'Sonko'

Full name

Gideon Mbuvi

Born

27th February 1975

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

mikemsonko@gmail.com

Email

mikemsonko@yahoo.com

Link

Facebook

Web

http://nairobisenate.co.ke

Telephone

0722886600

Telephone

0739111999

Gideon Mbuvi Mike 'Sonko'

His Excellency Mike Mbuvi is the Governor, Nairobi City County. He was the Senator, Nairobi County in the 11th Parliament and MP Makadara in the 10th Parliament.

All parliamentary appearances

Entries 131 to 140 of 460.

  • 24 Sep 2013 in Senate: Bw. Spika, miezi miwili iliyopita tulikuwa na information kuwa majambazi wamekodishwa nyumba upande wa Parklands na Westlands. Niko na ushahidi kutoka kwa kina mama wawili wa Kihindi ambao walikuja katika ofisi yangu – niko na ushahidi kwamba walikuwa wanakaa na majambazi hawa. Sitataja majina yao kwa sasa lakini niko tayari kutoa ushahidi wangu kwa polisi na kwa committee inayohusika na usalama kwa National Assembly na Senate. Kina mama h awa walikuwa wanakaa na majambazi The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 24 Sep 2013 in Senate: hawa, wakaanza kufanyiwa mistreatment na kupelekwa kwa njia ambazo si sawa, wakionyeshwa ma grenade na bunduki. Wafanyakazi wa Westlands na Parklands wa asili za Kiarabu na za Kihindi ndio waliwapatia majambazi hawa makao. Walika Nairobi kwa miezi zaidi ya tatu wakipanga haya mashambulizi. view
  • 24 Sep 2013 in Senate: Tulipeana information hii kwa upande wa wachunguzi. Sitataja majina. Lakini niko tayari kutoa ushahidi kwa kuwaleta watu ambao walinipatia hii view
  • 24 Sep 2013 in Senate: walipokuwa wakiendelea kupanga mashambulizi haya na walitaja Westgate Mall, Village Market, National Assembly na KICC---- view
  • 24 Sep 2013 in Senate: Bw. Spika, nahitaji unilinde kutokana na kelele nyingi hapa. view
  • 24 Sep 2013 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 24 Sep 2013 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. view
  • 24 Sep 2013 in Senate: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. My colleagues have mentioned about Eastleigh which is within my county and they have also mentioned me. I want to clarify that I mentioned Westlands and Parklands. view
  • 24 Sep 2013 in Senate: I am clarifying what they have just debated on. view
  • 24 Sep 2013 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, since Eastleigh is part of my county, we want Sen. (Dr.) Khalwale to clarify why he is mentioning that these guys are in Eastleigh. We want evidence from him and if he has any then, he should give it to the police. For instance, in my case, I mentioned Westlands because there is a woman who confided to me this sensitive information and I shared with the police and intelligence officers. She confided to me that the terrorists are residing in Westlands and Parklands and they are going to bomb Westgate and Village Market. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus