Gladwell Jesire Cheruiyot

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 41 to 50 of 208.

  • 26 Nov 2020 in National Assembly: Ahsante sana kwa nafasi hii umenipa niweze kuchangia Hoja hii inayoendelea wakati wa sasa, kuhusiana na wale watu ambao wako na changamoto ya miili yao, jinsi ambavyo wako na ulemavu. Jambo hili linaguza kila mtu. Ni jambo ambalo kila mtu anahitaji kulitilia maanani. Katika nchi hii, tunapopanga kazi na ratiba zetu kila wakati, ni vyema tuwe tukiwakumbuka wale wenzetu wanaoishi na ulemavu. Hata tunapoongea mambo ya ulemavu, ni kweli kwamba huduma za afya nchini humu zimegatuliwa. Kule mashinani katika kaunti zetu wangeweza kuweka bajeti ya kuhudumia watu hao. Wakati tunaposema BBI itaweka fedha nyingi kwa kaunti zetu, ningependa kaunti zitilie ... view
  • 24 Nov 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity to also contribute to this Report. At the outset, I support it. This Committee was able to go down there and bring a factual Report from what they The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 24 Nov 2020 in National Assembly: saw on the ground. It is only unfortunate that, in this country, what you see in papers is not comparable with what you see physically or real time on the ground there. This Committee must have spent a lot of time - and it was not very easy for them the way they are talking. However, I am also perturbed and wondering when, in this country, we shall ever be sincere and honest to ourselves. That is because when people are doing things, they seem to be doing them as if they want to go somewhere. It is as if ... view
  • 19 Nov 2020 in National Assembly: Ahsante sana, Mhe. Spika, kwa nafasi hii umenipa ili niweze kuchangia ombi hili, ama tunaiita ardhihali katika kitabu chetu ambacho tumepewa kipya. Nataka kuchangia ardhihali ya yule Mheshimiwa aliyetoa Hoja kule Marsabit na kusema kwamba misitu yetu ni ya muhimu sana. Hii misitu ambayo tunataka kuhifadhi ndio maisha yetu. Tusipokuwa na miti nchini, tukiweza kujenga vyumba vikubwa, kutaka kutengeneza mambo ya siku hizi na tusahau mazingira, unapata kwamba sisi kama binadamu tutaumia. Si Kenya peke yake ila dunia mzima. Miti ni muhimu kwa sababu bila miti hakuna uhai. Hewa ambayo tunapumua inatokana na miti na ni hewa safi. Kule Baringo ... view
  • 19 Nov 2020 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa nafasi hii umenipa nichangie Hoja hii. Hotuba ya Mhe. Rais ilifana kabisa. Aliongea mambo mengi ambayo sio lazima sisi sote tuyafurahie. Lakini kwangu, nasema ni asante maanake aliyataja mambo yanayoguza mwananchi wa kawaida. Janga ambalo liko kwa sasa la Korona, ama COVID-19, ni janga ambalo limeleta shida humu kwetu mpaka hata sisi tumepoteza ndugu na marafiki na watu wa karibu kwa sababu ya ugonjwa huu. Anaposema wametenga kama nchi pesa nyingi sana za kupigana na janga hili, ni kweli lakini kuna shida kwamba wale ambao wanapewa nafasi ya kuhudumia wananchi hawana utu ... view
  • 19 Nov 2020 in National Assembly: Kwa mambo ya uongozi wa akina mama, wengi wanasema kwamba tumepoteza. Kwangu mimi nasema hatujapoteza maanake nafasi zile zimependekezwa ni nafasi mpya za Seneti. Sio kwamba tunahamishwa kutoka Chumba hiki na kupelekwa Chumba kingine. Ni nafasi zingine mpya ambazo zimetengenezewa wanawake waweze kuchaguliwa. Tuko na nafasi ya kuchaguliwa kwenda Seneti ama kubaki kwa Bunge la Taifa. Mimi naunga mkono Hotuba ya Rais. view
  • 17 Nov 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I want to sincerely thank Hon. Kiai for being a pioneer in this journey towards finishing the stigma on COVID-19 infection. For a long time, people have been taking COVID-19 as if it is a disease of shame. I have been talking to my constituents and telling them that this is a disease like any other one as opposed to sexually transmitted diseases that people have feared for long. Currently, people can say: “I have HIV.” It is the only way we are going to really get rid of this disease. For as long ... view
  • 17 Nov 2020 in National Assembly: microphones. People put down their masks to talk on the microphones. They will be on masks throughout and remove them to talk on microphones and they share. I think the Ministry of Health should take it up so that members of public can be safe. Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me that opportunity. Let us put our heads together to save our country. view
  • 10 Nov 2020 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I also rise to support this Motion. Baringo ni sehemu ambayo bado ukeketaji unatekelezwa dhidi ya wasichana wetu. Katika sehemu nyingine, akina mama walioolewa bila kufanyiwa ukeketaji bado wanakeketwa. Tunajua kuwa jambo hili lilikuwa limetupiliwa mbali. Tumejaribu sana kupiga jambo hili lakini tumeshindwa. Sababu ni kuwa, wale ambao wanafaidika na sehemu hii hawajajitokeza kupigana vita hivi. Tumekuwa tukiwasiliana na akina mama na wasichana tu. Lakini wanaume wanaotumia sehemu hii hawajapatia kipaumbele vita dhidi ya jambo hili. Wale wanaotumia kiungo hicho hawaji mbele kusema kwamba wakionja hiki ama kile, kuna tofauti, ili wanawake waache ukeketaji. Tunataka wanaume ... view
  • 10 Nov 2020 in National Assembly: Tuelezwe tofauti maanake sisi ndio tunabeba kiungo hicho. Wale ambao wanakitumia watuambie maanake sisi hatujui. Hiyo itatuwezesha kuhamasisha wasichana wetu ili wajue kwamba kisimi chao kikikatwa, wanaume hawatawataka. We need to approach this issue from different angles. For a very long a time, we have just been talking to women and girls. We are just fighting from the angle of the women. For a very long time, when we go to those meetings… view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus