Grace Jemutai Kiptui

Grace comes from the minority Endorois community. Education tops her agenda as she would like to empower Baringo residents to be self-reliant in all sectors. She is keen on ensuring both young boys and girls are given equal chance in education.

All parliamentary appearances

Entries 121 to 130 of 208.

  • 15 Oct 2014 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa hii nafasi. Ningetaka kuunga mkono hii Hotuba ya Rais, ambayo ilikuwa ni ya kusisimua na imejaa mawaidha. Kwanza, nilimwangalia Rais; nilikuwa nimeketi hapa na yeye pale. Nilipata wazo kwamba yeye ni kama Yesu, ambaye alikuwa ni mtoto wa Mungu, lakini akajishusha hadhi na kuwa mwanadamu. Tulikuwa na Rais ambaye alichukuwa kiapo kuongoza hii nchi lakini mwisho wa Hotuba yake akasema anampa msaidizi wake, Mhe. William Ruto, uongozi. Hilo lilikuwa tendo ambalo lilitufanya, kama Wakenya, kufikiria mara mbili na kuona kwamba Rais ambaye anatuongoza wakati huu ni mtu tofauti sana. Aliporudi juzi, alinena ... view
  • 15 Oct 2014 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, tumeongea kuhusu mambo mengi na sitaki kuyarudia. Najua kwamba kuna wale waliathirika na shida za mwaka wa 2007/2008. Kuna wengine ambao walidhulumiwa hasa na maafisa wa Serikali. Pesa zilipotumwa kule mashinani kuwasaidia, zilipotelea katika mashimo ya panya na waathiriwa hawakupata fedha hizo. Nawatetea watu hao. Napendekeza kwamba Serikali ifuatilie tena ili tujue wale ambao hawakupata pesa ili waweze kupatiwa, hata kama tumefunga hiyo sura. Mhe. Naibu Spika wa Muda, ni uchungu kuona watu wengine ambao hawakuathirika wakipewa pesa hizo. Pesa hizo zilitolewa na Serikali kuwasaidia wale walioathirika. Lakini hawakupata pesa hizo. Naomba kwamba tufuatilie jambo ... view
  • 15 Oct 2014 in National Assembly: Katika upande wa Upinzani wa Bunge hili, nilishangaa waliposema kwamba hawatahudhuria Kikao kilichoitishwa na Rais wa Nchi. Hiyo ni kuonyesha tabia mbaya. Ikiwa ni wakati ule ambao nchi yetu ilikuwa taabani, ingebidi sisi sote tushikane mkono tuonyeshe wale tunaowakilisha katika Bunge hili--- view
  • 15 Oct 2014 in National Assembly: Mhe. Naibu Spika wa Muda, naweza kuondoa hiyo sehemu ya mazungumzo yangu na niseme: “Halikuwa jambo nzuri kukataa kuja kusikiliza Hotuba ya Rais.” wakati kama ule nchi yetu ilikuwa kwenye majaribio. Ningewaomba Waheshimiwa wakati mwingine waweke siasa kando kidogo. Hata jana nilisema kwamba wakati kuna mambo ambayo yanawafaidi Wakenya, ni heri sisi sote tuungane pamoja. Isiwe upande tunaoketi unatuletea shida ili ifike kiwango ambacho hatuwezi kuwahudumia watu wetu. Kwa hayo machache, naunga mkono Hoja hii. Ahsante. view
  • 14 Oct 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Speaker. I also want to contribute to this debate. I am a very disappointed Member because I woke up today at 4.00 a.m., in Baringo to be in time to receive the answer to Question No.008 of 2014. Unfortunately, the Cabinet Secretary for Interior and Coordination of National Government failed us. He did not turn up and neither did we get a reason as to why he did not come. Our time was wasted, time which we would have used on other important issues to serve our constituents. I also want to comment on the Press releases ... view
  • 26 Aug 2014 in National Assembly: On a point of order, hon. Temporary Deputy Speaker. Is the hon. Member in order to mislead the House that the report does not mention anything about the expansion of this project countrywide, whereas in 5.2, it is indicated that the project should be expanded to cover the rest of the country as soon as it is practicable or possible. There is also another area that even indicates the amount of money that will be required to roll it out. It is indicated in the report that Kshs.21billion will be needed to do that job. So, I wonder why he ... view
  • 26 Aug 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker. view
  • 26 Aug 2014 in National Assembly: Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity. I would like to declare that I am a Member of this Committee and I support the Motion as amended. view
  • 26 Aug 2014 in National Assembly: I want to state that our security forces are using templates that were made in the early 50s. According to me, they are outdated. The criminals have been upping their game and no wonder in most cases, we are caught flat-footed like the case of Westgate terrorist attack. Had we improved our surveillance, I am sure we would have averted that terrorist attack. view
  • 26 Aug 2014 in National Assembly: I have heard, having travelled in this country and met the security forces wherever there are problems like cattle rustling and other issues, the police say that the criminals have sophisticated weapons compared to what they have. This has made their morale, as we speak, to be at all-time low. It is no wonder that everytime an issue arises, we keep complaining that the security forces did not respond in good time. This is because of the old system that they are using. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus