Harrison Garama Kombe

Born

1956

Post

P.O. Box 276, Malindi, Kenya

Email

hanko56@hotmail.com

Telephone

0723032771

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 382.

  • 2 Mar 2017 in National Assembly: Hon. Karithi made a statement on macadamia but you have not referred it to the relevant committee. Kindly advise us. view
  • 2 Mar 2017 in National Assembly: Ahsante Mhe. Naibu Spika. Ningependa kuchukua nafasi hii kurudisha shukrani kwa Waheshimiwa waliopata nafasi kufika kwa mazishi ya mamangu, na wale ambao walinyoosha mikono yao. Mwenyezi Mungu awabariki. Mhe. Naibu Spika, ukweli wakati mwingine ni mchungu, lakini haina budi usemwe. Zote tulikosea tulipochukua kitengo cha afya na kukiweka kwenye ugatuzi na tukakisambaza kwenye kaunti. Tunapolalamika kwamba madaktari hawako, ni muhimu tukumbuke kwamba sio jukumu la Serikali ya Kitaifa kuhakikisha kuwa hospitali zote zina madaktari. Kaunti zimepewa pesa na The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from ... view
  • 2 Mar 2017 in National Assembly: ni wajibu wao kuhakikisha kwamba madaktari wanalipwa vyema na kuona kwamba kitengo hicho cha afya kinatiliwa maanani vilivyo. Wale ambao walipigania ugatuzi ni kidonda hivi sasa kwa Serikali ya Kitaifa na hawataki kukubali kwamba zote tulikosea. Ukweli usemwe na uongo ujitenge. Ningependa kuwaomba magavana wote wawajibike na kuhakikisha ya kwamba wanawalipa madaktari vyema. Si vyema kaunti zingine zilipe madaktari vizuri na wanaendelea na kazi na wengine wapo nyumbani kwa sababu ya kutolipwa vyema. Wale wanaolipa vizuri wanatoka Kenya ipi, na wale ambao hawalipi vizuri wanatoka Kenya ipi? Naunga mkono Hoja hii ya kuahirisha Bunge kwa muda mfupi kwa sababu nitakuwa ... view
  • 17 Jan 2017 in National Assembly: Asante Mheshimiwa Spika view
  • 17 Jan 2017 in National Assembly: Asante Mheshimiwa Spika view
  • 17 Jan 2017 in National Assembly: Asante Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi niweze kuchangia na kuunga mkono uteuzi wa makamishina wa Tume ya Uchanguzi. Ningependa kumpongeza Mhe. Rais kwa uteuzi wake wa makamishna hawa. Ni dhahiri kwamba tunapoenda kwa uchaguzi mwezi wa nane matokeo yataweza kukubalika kwa pande zote za vyama ikizingatiwa kwamba wengi wa makamishina walikuwa kwa mrengo ule mwingine. Hivyo basi, ninataka kusema kwamba tunaunga mkono Hoja hii, si kwa sababu kamishna fulani anatoka eneo bunge lako. Tunafanya hili kwa sababu ni Mkenya anayestahili, na ako na stakabadhi zinazotosha kwa kazi hii ambayo ameuliza kupatiwa nafasi kuweza kuhudumu. Tunafanya haya ili tuwe na uchaguzi ... view
  • 17 Jan 2017 in National Assembly: Asante Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi niweze kuchangia na kuunga mkono uteuzi wa makamishina wa Tume ya Uchanguzi. Ningependa kumpongeza Mhe. Rais kwa uteuzi wake wa makamishna hawa. Ni dhahiri kwamba tunapoenda kwa uchaguzi mwezi wa nane matokeo yataweza kukubalika kwa pande zote za vyama ikizingatiwa kwamba wengi wa makamishina walikuwa kwa mrengo ule mwingine. Hivyo basi, ninataka kusema kwamba tunaunga mkono Hoja hii, si kwa sababu kamishna fulani anatoka eneo bunge lako. Tunafanya hili kwa sababu ni Mkenya anayestahili, na ako na stakabadhi zinazotosha kwa kazi hii ambayo ameuliza kupatiwa nafasi kuweza kuhudumu. Tunafanya haya ili tuwe na uchaguzi ... view
  • 26 Oct 2016 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. I beg to oppose the Bill. With all due respect, I am of the opinion that we would rather reduce the number of constituencies to the original 210. If we decide to go that way we will have 210 constituencies plus 47 county Members of Parliament. That will give us 257 Members. One-third of that comes to around 85.667, which is approximately 86. Out of 86 women we need to have in this House, we already have 47 of them. That brings the number down to 39. Assuming that the ladies have gone for it and ... view
  • 26 Oct 2016 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. It is unfortunate that Hon. Duale was out to take part of my time. This Bill has nothing to do with being a gynaecologist and all that; this is something to do with numbers. How are we going to realise the one-third gender rule? That is all we are talking about. How are we going to achieve that? My piece of advice to Hon. Chepkong’a is to get back this Bill, find out how to reduce the number of constituencies and do the calculations right. This question of being self-conceited will never help this country. We ... view
  • 26 Oct 2016 in National Assembly: one-third gender rule? We must understand that ladies also have a share. If one day they say no more men in this House, it will be us struggling for the one-third gender rule. This is because they will be the majority. Some of us in this House have more than four wives. If they say this time round we are going to say no to the men and that they are not going to vote them in, what will happen? This House will be like Rwandan Parliament, where the majority are ladies. Thank you, Hon. Speaker. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus