All parliamentary appearances
Entries 101 to 110 of 1711.
-
2 Mar 2022 in Senate:
lakini utakuta ya kwamba visehemu ambavyo tumejenga vyumba ni vidogo na wale ambao tayari wamepanga ama kukodisha katika hizi flats inakua ni vigumu sana kwa sababu nyanya atakaa kwenye sebuleni, hana pengine chumba cha kulala na kadhalika. Ni jambo ambalo tunafaa kuliangalia zaidi fauka tu ya kupatiana Kshs2,000 kila mwezi na matibabu ya National Health Insurance Fund (NHIF). Tujiulize, sera ile ambayo inafaa, sheria, nafikiri Mhe. Gathoni wa Muchomba amewasilisha sheria hii kule na Mhe. Cheruiyot alikua na nyingine hapa, ziweze kuwiana ili tuwe na sheria moja ya watu wazee ama ukipenda kwa kimombo, senior citizen, wakuu wetu ili waweze ...
view
-
2 Mar 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
-
2 Mar 2022 in Senate:
katoliki ambao watusaidia sana kwa kujitolea katika jambo hili. Ni jambo ambalo Serikali haiwezi kuhoji kwa asilimia.
view
-
2 Mar 2022 in Senate:
Nafikiri ni muhimu tuangazie mambo ambayo tunaweza kutengeneza kama vile marupurupu ya uzeeni, mambo ya afya, na mambo mengine kama hayo. Kama ni ujenzi wa nyumba za wazee kwa sababu mara nyingi wanajenga nyumba zao wakati wanastaafu. Pengine pia kuwe na ushauri kama vile ambavyo nimeona imependekezwa hapa katika serikali zetu gatuzi ndiposa pia watu wazee waweze kujua kipato chao kitapungua, hawatakua na nguvu za mwili zitakazowawezesha wajikimu wenyewe. Bw. Spika wa Muda, ikumbukwe kwamba, hata mambo ya kukaa na wazazi mijini inawapendelea sana akina mama. Akina mama wanapendwa na watoto wao ambao huwaita mijini lakini wazee wanawachwa kule mashambani ...
view
-
2 Mar 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
-
2 Mar 2022 in Senate:
Wakati nilikua naishi Uingereza, kulikua na majadiliano makubwa sana ya kwamba kuna watu ambao wamechukulia nyumba za wazee kama baishara na zilikua hata zinaweza kuwa na nafasi katika London Security Exchange . Can you imagine? Yaani watu wamefanya hio baishara kuwa kubwa mno hivi kwamba watu wanaweza kununua shares za kampuni hio kupitia London Security Exchange. Sisi pia tunafaa kufika pale. Hatufai kuwa tunatoza shida hii ya kijamii iwe ni kama ni biashara ya mtu kibinafsi. Tuuchukulie huu mzigo uweze kubebwa na familia kwa kiasi lakini serikali iwajibike ndiposa usiwe ni mzito sana, watu tuanze kuona kama vile tumeweza kuona ...
view
-
22 Feb 2022 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, I support this important Statement. It is unfortunate that we have not seen Government releasing the budget for the third quarter. This is an issue affecting Parliament as well, not just county governments and this is serious. It speaks clearly about our financial stress as a country. These are conversations that we have avoided talking about for a very long time. I am happy that I spoke about them way back in 2014 and repeated in 2020. I am happy that I have been vindicated. There is a serious cash flow problem, because even Parliament has ...
view
-
22 Feb 2022 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
-
22 Feb 2022 in Senate:
you have not received money for January and we are finishing the second month of the third quarter. The fourth quarter begins in the April. That means that the Financial Year is coming to an end. There is always this issue that monies are going to be returned at the end of the Financial Year but the truth is that no monies are returned. It is just that two things happened; monies are not released on time and when released, it is done one day to the end of the Financial Year. It is a ping pong game. The National ...
view
-
22 Feb 2022 in Senate:
Mr. Temporary Speaker, Sir, it is not a question of asking the National Treasury and Hon. Ukur Yatani going to campaign for his Upya outfit. As a country, we need to have a conversation on our debt ceiling and how to repay debt. We also need to talk about how to re-engineer our economy from a development model, where you have people demanding for roads, dams and schools, which end up
view