All parliamentary appearances
Entries 271 to 280 of 1711.
-
3 Nov 2020 in Senate:
The Senate rose at 6:30 p.m.
view
-
3 Nov 2020 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
-
8 Oct 2020 in Senate:
Waheshimiwa Maseneta, haya ndio matokeo ya kura ambayo tumepiga-
view
-
8 Oct 2020 in Senate:
Waheshimiwa, nadhani tumemaliza kupiga kura. Naomba radhi kwa wale ambao mlikuwa na Miswada ambayo tulikuwa tunataka kupitisha katika Kamati Nzima ya Bunge hili kwamba kwa sababu ya muda, tulikuwa hatujamaliza kauli rasmi. Sasa nitampa nafasi Sen. Aaron Cheruiyot.
view
-
8 Oct 2020 in Senate:
Asante sana, Sen. Cheruiyot. Sitampa Seneta wowote muda wa kuzungumzia swala hili kwa sababu ya muda.
view
-
8 Oct 2020 in Senate:
Tafadhali Waheshimiwa Maseneta, kwa sababu ya muda, bado tuna Miswada mingi sana. Nitampatia mtu mmoja pekee yake. Kwa hivyo, kama Sen. Langat yupo tayari kuzungumza, nakupatia dakika mbili uzungumzie swala hili.
view
-
8 Oct 2020 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view
-
8 Oct 2020 in Senate:
Nafikiri hayupo tayari. Basi Sen. Dullo.
view
-
8 Oct 2020 in Senate:
Asante sana. Nani angependa kuchangia? Mtu mmoja pekee yake.
view
-
8 Oct 2020 in Senate:
Tafadhali fupisha.
view