Janet Nangabo Wanyama

Parties & Coalitions

Janet Nangabo Wanyama

She has established the Janet Nangabo Foundation, a community based organization specifically created to provide solutions for problems of the Trans Nzoia people.

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 247.

  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipatia nafasi hii. Kwanza natoa shukrani zangu kwa Mwenyezi Mungu kwa kutulinda katika nchi yetu hii ya Kenya. view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Pia, naungana na wenzagu kukushukuru, Mhe. Spika wa Bunge hili, kwanzia Bunge la Kumi na Moja mpaka Bunge hili. Tena, nataka nikushukuru, kwa kuleta Kanuni za Kudumu za The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Bunge la Kitaifa. Naelekeza shukrani zangu kwa watu wa Kaunti ya Trans Nzoia na hata Wabunge ambao wanatoka huko. view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Nashukuru Mhe. Pukose kwa sababu amekuwa katika Kamati ya Umeme katika Bunge hili. Hakika tunaona matunda yake kule kwetu. Namshukuru sana kwa sababu alifanya kazi nzuri sana kama Naibu Mwenyekiti. view
  • 9 Jun 2022 in National Assembly: Mhe. Spika, umenisaidia sana. Wakati tuliingia katika Bunge hili, wengine wetu tulikuwa kama councillors wa enzi zile. Hatukujua tunatoka wapi na tunaelekea wapi. Nakushukuru kwa mchango wako kwa kutuelekeza sisi kama Wabunge hadi tukajua ya kwamba tunatoka hapa na tunaelekea kule. Haujakuwa mtu wa kugonganisha watu vichwa katika Bunge hili. Huangalii huyu anatoka kwa kabila gani. Nakushuru sana. Pia, natoa shukrani zangu kwa Rais wa nchi pamoja na Serikali yake yote kwa jumla kwa kazi nzuri ambayo amefanyia hii nchi. Pia, sitasahau Naibu wake. Nikichaguliwa katika Bunge hili, hawa wote walikuwa watu wawili. Pia mimi nilikuwa mwanachama wa Chama cha ... view
  • 13 Apr 2022 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi hii nichangie Mswada huu wa kuwa na Huduma Namba. Namshukuru Mwenyekiti wa Kamati ya Utawala na Usalama wa Taifa katika Bunge hili. Ni kweli vile wenzangu wamechangia, imekuwa vigumu sana. Hata leo asubuhi nimepigiwa simu na mtoto wangu kutoka Australia kwamba anataka cheti cha kuzaliwa. Tungelikuwa na kadi kama hii, mtoto hangepiga simu na kusema anataka kadi ya kuzaliwa. Tukiwa na kadi hii, itakuwa inabeba kila kitu. Naona mwishowe hii kadi itakuwa inabeba kila kitu. Naona hiyo kadi itakuja kusaidia watoto wetu iwapo wamefika kidato fulani. Mtu atajua huyo mtoto ... view
  • 13 Apr 2022 in National Assembly: Hapo awali, tukiwa wafanyakazi katika idara wakati tulitaka kulipwa mshahara, walikuwa wanaleta payroll wakitumia kalamu kuangalia jina lako. Unaona mahali tumefika. Benki zetu zinaweza kutuwekea hizo pesa. Iwapo tutakuwa na hiyo Huduma Namba, itarahisisha kila kitu na hivyo tutakuwa kama nchi nyingine. Mhe. Waluke amesema wale tuko kwa mipaka yetu tutafaidika. Ni kweli, hata ukija mahali panaitwa Suam kule Trans Nzoia, tuna ndugu zetu wanaotoka Uganda. Hata wakati huu tunapopiga kura, wenzetu wanaenda mpaka nchi za ng’ambo kuangalia wapigaji kura waje katika nchi yetu ya Kenya. Tukiwa na hiyo Huduma Namba ya kusema huyu au yule ni ndugu au jirani ... view
  • 13 Apr 2022 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairman, I concur with this amendment because it is straightforward. view
  • 13 Apr 2022 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I second. view
  • 2 Dec 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairlady. I agree with my colleagues that county governments do not use their own money. When we go to there, they just talk about the schools or those nurseries that they have built but, when you ask them to account for it, they are not even clear. As my colleagues have said, we need proper accounting for the money that is being used from the national Government and label the projects that they are doing. We also urge the Senate, when it is overseeing the counties, to be clear. Tell us and even report to ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus