Janet Nangabo Wanyama

Parties & Coalitions

Janet Nangabo Wanyama

She has established the Janet Nangabo Foundation, a community based organization specifically created to provide solutions for problems of the Trans Nzoia people.

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 247.

  • 1 Dec 2021 in National Assembly: Asante sana, Bi Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii ya kuchangia Hotuba ya Mhe. Rais. Ningependa kumshukuru Mhe. Rais kwa kutoa Hotuba yake kulingana na Katiba ya nchi hii. Nitagusia sehemu kadhaa za Hotuba hiyo ambazo zilinipendeza. Kwanza, tumekuwa na changamoto ya virusi vya Korona nchini na kote ulimwenguni. Namshukuru Rais na Serikali yake kwa kujitahidi na kuhakikisha kuwa wanahudumia wananchi wa Kenya na kuzuia maambukizi tele ya virusi hivyo. Alibuni sehemu nyingi za kupimwa kwa walioadhirika na wasioadhirika, na hata kutoa chanjo ya kuzuiia maambukizi. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. ... view
  • 1 Dec 2021 in National Assembly: Pili, kiwango cha walimu walioajiriwa katika muhula wake ni kikubwa mno. Sisi pia tunataka kumwunga mkono na kumshukuru kwa sababu watoto wetu waliohitumu kama walimu nchini, wamepewa nafasi zao. Namshukuru Rais pia kwa kazi yake katika sekta ya ukulima. Alizingatia mambo ya wakulima wa chai waliokuwa wanapata pesa duni. Sasa hivi, wakulima wa chai wanapata haki yao. Aidha, Rais alisahau kuwa pia kuna wakulima wa mahindi kutoka sehemu kama Trans Nzoia. Ni kweli kuwa mbolea ilisambazwa kwa bei nzuri lakini wakulima kutoka sehemu ya Trans Nzoia wanahitaji usawa na wakulima wengine. Kwa mfano, Mhe. Rais alisema kuwa wakulima wa miwa ... view
  • 25 Nov 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I rise to ask Question No.486/2021 to the Cabinet Secretary for Education: (i) Are there plans to establish a public university in Trans Nzoia County as provided for by the Universities Act, 2012, requiring every county to have at least one public university? view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I beg to second and state that, indeed, I will be the next Governor of Trans Nzoia County. view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa fursa hii kuzungumzia mambo ya wale watu ambao wamestaafu katika nafasi mbalimbali nchini. Ningependa kumshukuru Mhe. Didmus Barasa kwa kuleta Mswada huu katika Bunge hili ili wale watu ambao wamestaafu, mahali popote walipo, wapate nafuu. Kuna watu wengi waliokuwa wakifanya kazi na wakastaafu, haswa walimu na wale waliokuwa wakifanya kazi katika Idara ya Posta na Reli. Hadi sasa, watu hao hawajalipwa pesa zao za kustaafu. Iwapo tutakuwa na marekebisho haya ya kuhakikisha kwamba wale wanaostaafu wanapata haki yao, itakuwa ni vyema kwa sababu wengi wanaumia sana na wengine wana watoto ambao hawaendi ... view
  • 24 Nov 2021 in National Assembly: Asante. view
  • 10 Nov 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker for giving me this opportunity to contribute to the Pensions (Amendment) Bill. I thank my colleague, Hon. Didmus Barasa, for coming up with this Bill. When we talk about pension, some of us are victims. I remember when I worked for Telecom Kenya, some of us were retrenched when we were only 46 years. For those who were 50 years, up to now, they have not been paid. Some of them have passed on and others lost their families because they were poor and could not afford to buy a meal. It is true ... view
  • 13 Oct 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Chairman. I just want to support this amendment. It is very important because we do not want to have middlemen in between there. view
  • 13 Oct 2021 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairman, I support the amendment. It is true that the headquarters must go to Kisumu because it will be easy for the farmers from Trans Nzoia County to go to Kisumu. It is also important because we want to devolve each and every issue so that the growers can benefit from that. I thank you. view
  • 11 Aug 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. I want to comment on the first Statement, that is, about security because I am a neighbour to Marakwet. I was requesting if you can allow the Committee to go on the ground so that it can see exactly what is happening. When we just wait for the CS or PS to respond to these issues, they are not familiar with what is happening down there. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus