2 Apr 2015 in National Assembly:
Thank you, hon. Temporary Deputy Chairman. My worry is, who would be given the advice while the Auditor is there?
view
1 Apr 2015 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika, ningependa kukushukuru kwa kunipa nafasi hii ili nami nichangie Hotuba ya Rais kwa Taifa. Kwanza, ningependa kumshukuru Rais kwa Hotuba yake kwa taifa ili tujue mafanikio, changamoto na mambo ya usoni katika nchi hii. Rais ametimiza ahadi ambazo alitoa katika Manifesto yake ya Jubilee. Jambo la kwanza, alituahidi kwamba atafufua uchumi wa nchi hii. Kwa kweli, uchumi wa nchi hii umefikia asilimia sita. Hiyo ni maendeleo. Aliahidi kwamba kila shule ya msingi ya umma itawekwa stima. Kati ya shule 20,500, shule 18,400 zimewekwa stima. Ingawa tunafurahia hayo, katika kaunti ninayotoka ya Turkana, watu wangu wa Mji wa ...
view
25 Mar 2015 in National Assembly:
Asante, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Nasimama kuunga mkono Hoja hii. Umuhimu wa mawasiliano ni kuwasilisha ujumbe ama habari kwa lugha inayoeleweka. Huo ndio umuhimu wa mawasiliano. Ukitaka mtu alielewe jambo, lazima utumie lugha anayoielewa. Kama tunataka Wakenya wajue sheria zetu, ni lazima tutumie lugha ambayo wanaielewa. Ingawa tunaongea mambo ya kutafsiri sheria zetu katika lugha ya Kiswahili, kuna changamoto ambazo ni lazima kwanza tukabiliane nazo ndipo lugha hii iwe ya maana kwa wananchi. Chanagamoto ya kwanza ni kuwa zaidi ya asilimia sabini ya Wakenya hawajui kusoma. Kwa hivyo, hata ukitafsiri sheria zetu kwa lugha ya Kiswahili bado kuna shida. ...
view
25 Mar 2015 in National Assembly:
zao. Ni muhimu maktaba ya kitaifa ijaribu njia zote za kuhifadhi kila chombo chenye thamani. Kwa mfano, kuihifadhi Katiba katika kila lugha nchini itawasaidia wale ambao watazaliwa, baada ya sisi kuondoka, kufahamu jinsi lugha zao zilivyokuwa. Watoto wengine wanaozaliwa mijini, kama Nairobi, hawajui lugha zao. Wanajua Kiswahili na Kiingereza pekee. Inakuwa shida kuhifadhi utamaduni na lugha zetu. Tukiendelea namna hii, lugha zingine zitakuja kupotea. Siwezi kuzungumzia lugha nyingine, lakini lugha yangu ya Kiturkana itaendelea kuweko. Changamoto nyingine ni kwamba Kiswahili simulizi ni tofauti na Kiswahili cha kuadika. Kwa mfano, Kiswahili kinachotumika katika eneo la Pwani si Kiswahili ambacho kinaweza kutumika ...
view
12 Mar 2015 in National Assembly:
On a point of order, hon. Temporary Deputy Speaker.
view
12 Mar 2015 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, the way you have carried the balancing is not good. Four people have spoken from the opposite, yet you have not taken even one person from this side.
view
12 Mar 2015 in National Assembly:
Thank you, hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me an opportunity to support this Motion. First of all, we want to thank the Budget and Appropriations Committee for reconsidering the issues that were raised by the House yesterday. If we go by the same spirit that this Committee has shown, we will have unity in this House and we will serve together as hon. Members of this House. Hon. Temporary Deputy Speaker, there was a bit of tension in this House yesterday but the Chairman of the Budget and Appropriations Committee took an initiative of inviting all hon. Members who ...
view
12 Mar 2015 in National Assembly:
not reached their target pack and go home so that we remain with those that are relevant or we make them temporary or part-time commissions which just meet when there is need to meet. Finally, I want to thank the Committee for adding some little money to the CDF kitty. Nationally, if there is money that has impacted the lives of people in this country, it is the CDF. When we give this money, it does equal development across the country; the 290 constituencies representing the face of this country. So when we take the money to the lowest level, ...
view
12 Mar 2015 in National Assembly:
I urge the Committee to allocate this money to Centres of Excellence every year so that we continue improving them to reach the level of Nairobi and Mombasa. We can say somebody in Turkana County can compete with our students in Nairobi because Centres of Excellence are being funded and have received all the necessary assistance from the national Government.
view
12 Mar 2015 in National Assembly:
I support the Motion as was amended by hon. Wamunyinyi. Thank you.
view