John Lodepe Nakara

Parties & Coalitions

Email

johnnakara@yahoo.com

Link

Facebook

Telephone

0724521698

Telephone

0735770174

All parliamentary appearances

Entries 581 to 587 of 587.

  • 19 Jun 2013 in National Assembly: Finally, on discrimination, somebody can be qualified to be a judge but because he or she is from a particular tribe or region, and because I know him or her in one way or the other, I will discriminate him or her. However, the foreign judges do not have that in their mind. view
  • 19 Jun 2013 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, Sir, with those few reasons, I beg to support this Motion. view
  • 23 May 2013 in National Assembly: Mhe Spika, asante sana kwa kunipa nafasi ya kuchangia Hoja ya Mhe John Ng’ongo. Pia nataka kuchukua nafasi hii kutoa hotuba yangu ya kwanza; katika siku za nyuma sikupata nafasi kamili ya kupeana hotuba yangu ya kwanza Bungeni. Ninaitwa Mishonari Lodepe Nakara, Mbunge wa Turkana ya Kati. Ningependa kuchukua nafasi hii kushukuru watu wa Turkana ya Kati kwa kunichagua na kunifanya kuwa Mbunge wao wa kwanza chini ya Katiba mpya.Turkana ya Kati ni moja ya maeneo ya Bunge ambayo yako katika kaunti ya Turkana, na ni moja ya maeneo ya Bunge ambayo yamekuwako tangu Kenya ipate Uhuru; nawashukuru wananchi wa ... view
  • 23 May 2013 in National Assembly: Nikichangia Hoja ambayo iko mbele yetu, ningependa kusema kwamba kama kuna wavuvi ambao wanaumia, ama wanateseka sana katika nchi ya Kenya, ni wavuvi wa Ziwa Turkana; shida yao ni mambo yafuatayo, kwanza ni barabara. Barabara inayoelekea Ziwa la Turkana, ambalo kubwa katika nchi hii, ni barabara ambayo ni kama inayoenda mbinguni. Ina shida nyingi. Magari yanaharibika. Kuna mashimo mengi barabarani. Usalama ni mbaya na umefanya wavuvi wasiweze kupeleka mazao yao katika miji iliyo karibu na Ziwa la Turkana ili kupata soko. Hilo ni tatizo moja ambalo wavuvi wa Turkana wanapata. view
  • 23 May 2013 in National Assembly: Bw. Spika, tatizo la pili ni soko. Nilishangaa juzi nilipoenda kwenye hoteli moja hapa Nairobi, na kuagiza nipewe samaki. Samaki niliyoletewa kule kwetu Turkana inauzwa Kshs20. Hapa niliuziwa Kshs200. Nilishangaa sana. Nilisema kama tungekuwa na soko kama hiyo samaki ambao tunauza Kshs20 huko Turkana hata tukiiuza Kshs50 itakuwa ni faida kwa watu wa Turkana. Naiomba Serikali iangalie jinsi ambavyo wavuvi wa Turkana wanaweza kuleta samaki katika mji wa Nairobi ili wapate soko nzuri. view
  • 23 May 2013 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, shida nyingine ambayo wavuvi wa Turkana wanapata ni mambo ya kuvua samaki kwenye ziwa. Wanatumia teknolojia ya zamani, na jambo la kushangaza ni kwamba wakati upepo unapokuja unasukuma hawa wavuvi mpaka katikati ya ziwa. Wanapofika katikati ya bahari wanashikwa na Kenya Wildlife Service (KWS), ama na Marine forces na kupelekwa Marsabit. Mimi nauliza sasa hawa watu ambao wamesukumwa na upepo, kwa nini washikwe? Si kupenda kwao kuingia kwenye sehemu ambayo hawastahili kuwa, lakini upepo unasukuma hadi mahali anaposhikiwa. Baada ya kushikwa badala ya kuletwa Turkana na kushtakiwa pale wanapelekwa Marsabit na kushtakiwa. Sasa tunatumia nauli ... view
  • 16 May 2013 in National Assembly: Thank you, hon. Deputy Speaker, Sir. I would like to make my maiden speech. I am so happy because the hon. Deputy Speaker is chairing the Session. Since I came here, I have been standing but I have not been able to catch the Speaker’s eye. Today, I will take all my time. Turkana Central is one of the six constituencies in Turkana County. It is a cosmopolitan constituency. We have all the tribes there. We have a population of over 100,000 people. We have tourist attraction sites. We have plenty of land and we welcome investors in that area. ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus