All parliamentary appearances

Entries 401 to 410 of 1550.

  • 5 Nov 2019 in National Assembly: He should be detained for 30 days in prison. I thank you, Hon. Speaker. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: ... ( Off record ) view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: On a point of order, Hon. Speaker. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: On a point of order. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Mhe. Spika, nimesimama kwa jambo la nidhamu. Kulingana na Kanuni ya 80, unaruhusuhiwa kuangalia kile ambacho umeandika lakini hufai kusoma. Ni lazima uifanye hiyo Kanuni itumike. Inaonekana Kiongozi wa Wengi Bungeni anasoma taarifa. Kanuni ya 80 ya Bunge la Taifa inasema kwamba tunaweza kuchungulia stakabadhi za maandalizi yetu na wala sio kusoma. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Mhe. Spika, ni lazima tufuate Kanuni za Bunge hili. Kanuni zetu zishageuzwa kwa Kiswahili. Ni lazima tufuate Kanuni ya 80, ambayo inaturuhusu kuchungulia maandishi yetu ya matayarisho. Mtu hafai kusoma kana kwamba anatoa hotuba. Kiongozi wa Wengi anatoa hotuba ndani ya Bunge. Inafaa azungumze bila kusoma. Anastahili kuchungulia tuu maandishi yake ndiyo yaweze kumsaidia kidogo. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Mhe. Spika, nasimama kuunga mkono Hoja hii ya Bunge kuridhia kwamba Kanuni za Kudumu zitafsiriwe kutoka Kiingereza hadi Kiswahili. Jambo la pili ni kwamba nilikuwa nimekosea hapo mbeleni. Nilisema kwamba kurefer ni kuchungulia. Ni kusoma dondoo. Nimegundua saa hii. Nilikuwa nimesema kurefer ni kuchungulia. Kumbe kuchungulia ni mambo mengine. Sasa ni kusoma dondoo. Kurejelea ni kurudia. Mimi siwezi kuongea zaidi ya dakika mbili. Sitaki kukudanganya. Kiswahili changu hakiwezi kupita dakika mbili. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Siwezi kukuambia ati nitaongea dakika tano. Nitakuwa nakudanganya. Nitaongea dakika mbili peke yake. Jambo la kwanza ni kushukuru Bunge kwa kutafsiri Kanuni hizi kwa Kiswahili. Namshukuru pia Naibu Spika. Neno “Spika” ni la Kiingereza. Nimewazia jinsi linaweza kugeuzwa kuwa Kiswahili. Sijui kama nitakosea kwa kusema liwe ‘Mstahiki Mkurugenzi wa Bunge’. Nataka neno hilo liwekwe kwenye gazeti kama watu watakubali. Naishukuru Bunge kwa sababu hili ni jambo muhimu sana. Kuna wakati nilimsikia Mbunge mwenzangu akisema kuwa kuna wale wanaoongea Kiingereza kingi huko Bunge. Sasa watu waje waongee Kiswahili kingi hapa Bunge. Hakuna haja ya Kiingereza. Lugha hii siyo vile tunavyofikiria. Wakati ... view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Naunga mkono Hoja hii. Hili ni jambo la maana sana ambalo limefanyika katika Bunge. Kama vile wenzangu wamesema, tuwe tukizunguma Kiswahili siku moja kwa mfano, Jumatano asubuhi. Hakuna haja ya wewe kuvurutana na Kiingereza. Naunga mkono Hoja hii. Nimesindikiza Hoja hii vibaya sana. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, let me speak in English. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus