Justus Kizito Mugali

Born

4th August 1967

Post

378, kakamega

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

jmugali@yahoo.com

Email

shinyalu@parliament.go.ke

Link

Facebook

Telephone

0722814460

Link

@JUSTOMUG on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 51 to 60 of 120.

  • 24 Sep 2020 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I would also like to request that because of limited time and since it will be a matter of great interest to the Members, to kindly step the Bill down so that I can deal with it at an appropriate time. Thank you. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Asante, Mhe. Spika. Kwa heshima na taadhima kuu, ningependa vilevile kuchangia Hoja hii na kuiunga mkono kwa sababu ni Hoja muhimu sana. Hoja hii itatupelekea sisi kuwa tunazungumza kwa lugha ya Kiswahili ambayo ni lugha ya taifa na inatuletea ule uasili wetu kuona kwamba sisi kabisa ni Wakenya na tuna lugha ambayo inatuleta pamoja. Inatupatia ule mshikamano wa kitaifa ili tuweze kuenda mbele kama taifa linalozungumza lugha moja. view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Zaidi ya hapo, Hoja hii inaipatia lugha ya Kiswahili heshima yake na hadhi kubwa katika Kenya na hasa kuchochea wale wangependa kujifunza lugha hii. Kama mnavyojua, wanafunzi wengi hutumia lugha hii na mara nyingi huweza kuiga na kufuata mfano wa viongozi. Kama sisi viongozi tutakuwa tukitumia lugha hii katika Bunge hili, itakuwa nafuu sana na wanafunzi wale wanaweza kufuata mfano ule na kufanya tena utafiti zaidi na hata sisi kama Wabunge tutafanya utafiti mwingi zaidi ili tuweze kuzungumza lugha sanifu na kadhalika. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report ... view
  • 30 Oct 2019 in National Assembly: Jambo ambalo ningependa kusema ni kwamba lugha ya Kiswahili si lugha ya watu hafifu, si lugha ya wale akina pangu pakavu nitilie mchuzi, wale watu wa chini, hapana. Lugha ya Kiswahili ni lugha ya hata wasomi na kadhalika ijapokuwa hapa Kenya hatujakipatia Kiswahili nafasi kubwa hasa katika Bunge ili tuweze kukizungumza kwa wingi ili kuona kama ni cha mno. Kwa hivyo, ninashukuru sana Mhe. Spika. Unaingia moja kwa moja kwenye shajara ya historia na salua ya nchi hii kama Spika wa kwanza aliyetusaidia sana kuibua lugha ya Kiswahili na kuiweka katika ngazi ya juu. Kama unavyojua, kuna wengi wanajua Kiswahili ... view
  • 3 Jul 2019 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairman, I rise to oppose this amendment. One thing that we must understand is that when we elect commissioners, we are not necessarily electing experts. Sometimes they get to a point where they become a bit redundant and cannot agree on critical issues. I oppose the amendment. We should leave that Clause as it is, so that we can get more people in the Commission especially those who have the technical know-how to enrich it. view
  • 14 Aug 2012 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, I would like to take this opportunity also to commend the Minister and his Ministry in totality for having come up with a very good law that is going to govern education. We can see the autonomy that the TSC is going to have. We are very happy. We want the TSC to continue playing the complementary role. Although autonomous, they are going to play a complementary role and we want to wish them well. I want to revisit the issue of tuition in schools. I want to tell the Minister and the TSC that ... view
  • 14 Aug 2012 in National Assembly: I beg for your indulgence, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir. view
  • 9 Aug 2012 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I would like to also add my voice and say that logging is not only limited to the area where the questioner comes from. Much of it is actually being done by the same officers that we have asked to take charge of the forests. What are you doing to curb this logging that is supported by your own officers who are on the ground, who do not even try to involve the community at all? view
  • 7 Aug 2012 in National Assembly: Hoja ya nidhamu, Bwana Spika. Ninafikiri haya ni maswala ya mitambo ya kiteknologia. Mheshimiwa Leshoomo alipouliza swali, pengine alitarajia--- view
  • 7 Aug 2012 in National Assembly: Bw. Spika, ninafikiri labda ilikuwa ni shida ya mitambo ya kiteknolojia. Nilikuwa nataka kusimama kwa hoja ya nidhamu kwamba Mhe. Leshomo aliuliza swali fulani na akatumia lugha ya Kiswahili. Ninafikiri labda alitaka jibu la Swali hilo liwafikie wengi kule anakotoka ili waweze kujua Mbunge wao amewaulizia Swali. Kwa hivyo, ningependa kuuliza kama inafaa Waziri kumjibu katika lugha ya Kiingereza na kutatiza mawasiliano yake na wengi kutoka mahali anakotoka. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus