Kassim Sawa Tandaza

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 91 to 101 of 101.

  • 1 Aug 2018 in National Assembly: (Matuga, ANC view
  • 1 Aug 2018 in National Assembly: Nimezema bixa . Kwa kimombo inaitwa hivyo lakini kwa Kiswahili ni mrangi. view
  • 1 Aug 2018 in National Assembly: Sio pizza ni bixa . Mmea huu unatumika kwote ulimwengu na unatumika kwa chakula. Ni mmea wenye thamani. Pia, ni jukumu la Serikali kuona kuwa mmea huu unakuzwa na kiwanda kile kinapatiwa nguvu ili kiweze kutoa ajira kwa vijana wetu. Ni jukumu la kila Mkenya hasa kupitia utafiti, maana saa hizi watu wakizungumza ni kama wanafikiria labda korosho ziko Pwani peke yake. Tunajua kwamba utafiti uliofanyika hapo nyuma ulidhihirisha kwamba mmea huu wa korosho unaweza kufanya vizuri maeneo mengine ya Kenya hasa maeneo ya kule Tharaka Nithi ambayo ni karibu na Meru. Hali kadhalika, suala la mnazi pia limedhihirishwa kwamba ... view
  • 1 Aug 2018 in National Assembly: kiasi kikubwa. Naliunga mkono, pamoja na miguu, nione kwamba ufufuzi huu unafanyika na wananchi wote wananufaika. Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. view
  • 1 Aug 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. Is the Member in order to mislead the House by saying that there is a cashew nut development authority when for sure there is none, unless he is talking about a country other than Kenya? view
  • 20 Jun 2018 in National Assembly: Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Naunga mkono Mswada huu kwani ikija masuala ya bahati nasibu ni masuala ambayo yanaenda kinyume na maadili ya ufanyi kazi. Mambo ya bahati nasibu ni kwamba watu milioni moja wanachanga shilingi kumi kumi na inakuwa milioni mia moja lakini unachukua milioni moja unampatia mtu mmoja. Kwa kifupi bahati nasibu ni kama wizi. Unanyang’anya wengi mara milioni moja halafu unampatia mtu mmoja. Kwa hivyo, zingeongezwa kiasi cha kwamba watu wasiwe na moyo wa kufanya huu mchezo wa bahati nasibu. Kwa masuala ya utozaji ushuru, ningetaka kuchangia kwamba kuna wakati ambao vijana wengi waliambiwa kwamba ... view
  • 20 Jun 2018 in National Assembly: Asante. view
  • 5 Jun 2018 in National Assembly: Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii kuchangia Hotuba ya Mheshimiwa Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Kenya. Kwanza, lazima nishukuru Maulana. Pili niangazie yale aliyoyazungumzia, ikiwa mojawapo ni lile suala la kusalimiana ambalo limewezesha nchi hii, kama wenzangu walionitangulia walivyosema, kuwa na amani na mioyo kutulia. Lakini mikono hiyo isiwe tu ni ya watu wawili kwa sababu ukweli ni kwamba tukienda nyanjani, hasa kwetu sisi wanasiasa… The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

  • 5 Jun 2018 in National Assembly: Leo tulikuwa na mkutano na Mhe. Naibu Rais kule Kwale na tumeona bado wale walioko chini hawajakubali kwamba watu wanaweza kufanya kazi pamoja, ama wanaweza kuwa na maono pamoja na wakasaidia watu kwa kauli moja. Jambo lingine ambalo ningetaka kuchangia ni suala la viwanda. Ukweli ni kwamba nchi hii haitaweza kuendelea ikiwa viwanda havitanawiri. Kule kwetu Kaunti ya Kwale, kwa saa hii ndiko kuna madini ambayo yanachimbuliwa kwa wingi zaidi nchi nzima. Lakini la kushangaza ni kwamba katika karne hii bado tunachimbua yale madini na kuyapeleka Ulaya bila kuyafanyia kazi hapa. Hii inamaanisha faida kubwa haitufaidi sisi hapa nchini. Inamaanisha ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus