5 Jun 2018 in National Assembly:
Ahsante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii kuchangia Hotuba ya Mheshimiwa Mtukufu Rais wa Jamhuri ya Kenya. Kwanza, lazima nishukuru Maulana. Pili niangazie yale aliyoyazungumzia, ikiwa mojawapo ni lile suala la kusalimiana ambalo limewezesha nchi hii, kama wenzangu walionitangulia walivyosema, kuwa na amani na mioyo kutulia. Lakini mikono hiyo isiwe tu ni ya watu wawili kwa sababu ukweli ni kwamba tukienda nyanjani, hasa kwetu sisi wanasiasa… The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view

Leo tulikuwa na mkutano na Mhe. Naibu Rais kule Kwale na tumeona bado wale walioko chini hawajakubali kwamba watu wanaweza kufanya kazi pamoja, ama wanaweza kuwa na maono pamoja na wakasaidia watu kwa kauli moja. Jambo lingine ambalo ningetaka kuchangia ni suala la viwanda. Ukweli ni kwamba nchi hii haitaweza kuendelea ikiwa viwanda havitanawiri. Kule kwetu Kaunti ya Kwale, kwa saa hii ndiko kuna madini ambayo yanachimbuliwa kwa wingi zaidi nchi nzima. Lakini la kushangaza ni kwamba katika karne hii bado tunachimbua yale madini na kuyapeleka Ulaya bila kuyafanyia kazi hapa. Hii inamaanisha faida kubwa haitufaidi sisi hapa nchini. Inamaanisha ...