11 Oct 2017 in National Assembly:
Thank you, Hon. Deputy Speaker. I want to correct the Chair that Kathure in Meru is a lady and I think… I confirm that I am a man.
view
11 Oct 2017 in National Assembly:
I second this Motion.
view
27 Sep 2017 in National Assembly:
On a point of Order, Hon. Deputy Speaker.
view
27 Sep 2017 in National Assembly:
Thank you, Hon. Deputy Speaker. This Motion was amended and, therefore, the first member is no longer Hon. Patrick. For purposes of the record, as members contribute, they should understand that the Motion was amended, and the Member for Narok is now the first member. As they contribute they keeping referring to Hon. Patrick and Member for Narok is wondering whether she is still the First Chairperson...
view
13 Sep 2017 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Spika. Pia nitaomba kuongea kwa lugha ya taifa kwa sababu ni vizuri tuikuze lugha yetu ya taifa. Kwanza kabisa, nakupongeza kwa kuchaguliwa kuwa spika wetu wa Bunge la 12. Pia, nawapongeza Wabunge wenzangu kwa kuchaguliwa.
view
13 Sep 2017 in National Assembly:
Bila kupoteza wakati, Mhe. Mbadi alitoa hoja ya nidhamu na ukapeana mwongozo dhabiti ya kwamba hii Hoja itaendelea vizuri mpaka mwisho. Sidhani kuna haja ya hoja ya nidhamu tena kuuliza utoe uamuzi mwingine. Kwa hivyo, ningeomba tufanye hima kabisa tumalize hii Hoja iliyoletwa na Kiongozi wa Wengi Bungeni, ndio tuweze kuchagua hii Kamati. Nimeangalia haya majina yote manne na bila shaka nimeona wengine wamekuwa hapa kwa miaka mingi. Mhe. Kimunya alikuwa Waziri kitambo na kwa hivyo anaelewa kabisa ni kazi gani inastahili kufanywa katika Kamati hii. Kuna Mhe. Shadrack Mose na Mhe. Joyce Emanikor. Mhe. Joyce Emanikor tulikua naye kwenye ...
view
13 Sep 2017 in National Assembly:
Mhe. Spika, wakati ulipoitisha kikao cha kuapishwa kwa wabunge, wenzetu walio wachache Bungeni hawakuamini kwamba hilo jukumu lingetekelezwa vizuri. Ulipoitisha kikao cha ufunguzi rasmi wa Bunge na Mhe. Rais, wao hawakuamini kwamba shughuli hiyo ingetekelezwa vizuri. Sasa wanakimbia hapa na pale, “helter skelter”, kwa sababu wameona kwamba Bunge na taasisi nyingine za umma nchini zinaendelea kufanya kazi, wawe Bungeni ama wasiwe. Nimefurahishwa na jinsi wote wanavyokimbia hapa na pale, na haswa Mhe. John Mbadi, ambaye huwa mgumu sana kwa mambo mengi. Leo nilimuona akimuomba Mhe. Spika ampe nafasi ili aweze kuyaleta Bungeni majina ya Wabunge kutoka mrengo wa Upinzani watakaohudumu ...
view
15 Jun 2017 in National Assembly:
On a point of order, Hon. Temporary Deputy Speaker.
view
15 Jun 2017 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, my good friend Opiyo Wandayi is really misleading this House and the nation. The issue of independents is not being introduced by this Parliament. It is anchored in the Constitution of Kenya. He should table proposals to change the Constitution so that we can remove it. It is anchored in the Constitution. The political parties The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
15 Jun 2017 in National Assembly:
hold shambolic nominations and that is why independents will ever be in Parliament. More than 100 independent MPs will be in this House in the next Parliament. The first one will be Hon. Kathuri Murungi.
view