Kenneth Lusaka

Parties & Coalitions

Kenneth Lusaka

Former Governor, Bungoma County; currently Senate Speaker

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 22.

  • 11 Jan 2022 in Senate: Hon. Senators, today is just a First Reading. So I will just allow the Majority Leader and one other Member. The Commissioner came in late. Sen. Poghisio, proceed. view
  • 15 Jul 2021 in Senate: What is your point of order, Sen. Orengo? view
  • 5 May 2021 in National Assembly: Mheshimiwa Mtukufu Rais, Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Spika wa Bunge la Taifa, Mheshimiwa Justin Muturi na Waheshimiwa Wabunge. view
  • 5 May 2021 in National Assembly: Kuambatana na Kanuni ya Kudumu 25(1) ya Kanuni za Kudumu za Bunge la Taifa na Kanuni ya Kudumu 26 (2) ya Kanuni za Kudumu za Seneti zinazohusu hotuba za Wageni Mashuhuri, Maspika wa Bunge walipokea ombi la kumruhusu Mheshimiwa Mtukufu Rais Samia Suluhu Hassan, Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, ambaye yuko hapa katika ziara rasmi ya kitaifa nchini Kenya, kuhutubia Kikao cha pamoja cha Bunge. view
  • 5 May 2021 in National Assembly: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 5 May 2021 in National Assembly: Waheshimiwa Wabunge, Maspika wa Bunge, wakiitikia ombi hilo, wameitisha Kikao hiki cha Pamoja cha Bunge. Nilitoa Arifa ya Kikao hiki cha pamoja kupitia Gazeti Rasmi la Serikali, Arifa Nambari 4200 ya tarehe 3 Mei, 2021 kwa Waheshimiwa Maseneta. view
  • 5 May 2021 in National Assembly: Hivyo basi, Waheshimiwa Wabunge, Kikao hiki maalum kimeitishwa kwa njia inayofaa. view
  • 5 May 2021 in National Assembly: Asanteni! view
  • 5 May 2021 in National Assembly: Mheshimiwa Rais wa Jamhuri ya Muungano ya Tanzania, Spika wa Bunge la Taifa, Maseneta na Wabunge wa Bunge la Taifa, ni wakati sasa wa kuhairisha kikao cha Seneti hadi kesho, Alhamisi, tahere sita, Mei, mwaka wa 2021, saa nne asubuhi katika Ukumbi wa Seneti. Asanteni sana. view
  • 17 Dec 2020 in Senate: Order! There is some intervention. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus