3 Oct 2023 in Senate:
I speak with passion about Pumwani. I know so much about Pumwani. My kid brother and the rest were born in Pumwani and my mother happened to be a councillor of Pumwani for many years. She managed to relocate a few residents of Pumwani to the New Pumwani Estate. At that time, the area Member of Parliament (MP) was the late hon. Tom Mboya. Mr. Speaker, Sir, I know the history of Pumwani and the residents should be sorted out and compensated through issuance of houses. In the event that any individual refuses to settle, monetary compensation should be done. ...
view
3 Oct 2023 in Senate:
Thank you, Madam Temporary Speaker. I have three Statements but I will read two. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
3 Oct 2023 in Senate:
Madam Temporary Speaker, I rise pursuant to Standing Order No.53(1) to seek a Statement from the Standing Committee on Labour and Social Welfare regarding reports of abuse of people residing in care homes for elderly people at the Presbyterian Church of East Africa (PCEA) Thogoto Care Home for the Aged, as highlighted by an investigative news featured by BBC Africa Eye. In the Statement, the Committee should: (1) conduct an immediate investigation into the allegations of mistreatment of the aged at the PCEA Thogoto Care Home for elderly people; (2) explain what immediate steps are being taken to ensure that ...
view
26 Sep 2023 in National Assembly:
Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. I stand to support the Bill although I know it is not perfect. I am sure amendments will be done later, but there are other good things in it. The Bill will improve efficiency by increasing the autonomy of the facilities to make decisions and manage their own finances. It will also ensure that all funds generated by the facilities are ploughed back to support facilities operations and services. I imagine times when it gives an opportunity to hospitals where, for example, power has gone off and you have to use a generator and ...
view
20 Sep 2023 in Senate:
Asante Bw. Spika. Naomba kuchangia Hoja hii kuhusu uvutaji wa e-cigarrette ama shisha. Hili ni janga kubwa kwa vijana wetu. Wamejiingiza kwenye uvutaji wa sigara. Wanapoanza kuvuta e-cigarrette, vape na Shisha, wanajiingiza kwenye mambo mengi zaidi. Hizi sigara zimeongezewa vitu vingine kama bangi za kuwapoteza watoto wetu. Hili ni tatizo kubwa kwa afya kwani zinasababisha matatizo ya moyo, fungus kwenye kifua na pia kifua kikuu. Wanawake waja wazito, wanazaa watoto wenye kilo kidogo. Pia uvutaji unasababisha fungus ya Ngozi. Watoto wetu pia wanakuwa na addiction. Uraibu wa nicotine unasababisha vijana kutumia pombe na muguka. Ni kweli kuwa kama wazazi tumelegeza ...
view
20 Sep 2023 in Senate:
ni wale ambao bwana ameoa bibi wengi na kuwaacha. Watafanya nini? Si kweli, wamama hawa wanatekeleza majukumu yao na watoto wao wana nidhamu kuliko watoto walio na wazazi wawili. Nakataa hili jambo kwani utapata wazazi hawa wameshikilia nyumba zao. Namshukuru Sen. Mumma kwa kuleta Hoja hii. Nakubaliana na Sen. Tabitha Mutinda kuwa iletwe kama Mswada ili tuweze kuizungumzia Zaidi. Hii ni Challenge kubwa kwa wazazi. Tunafaa kushikilia Watoto wetu wasiingie kwenye shimo la kuvuta
view
20 Sep 2023 in Senate:
Kuna saratani ya kifua ambayo inasababishwa na uvutaji wa hizi sigara. Hili ni janga kubwa ambayo tunafaa kuangalia. Bw. Spika, ni hayo tu kwa sasa, kwani mada hii ni pana sana. Naunga mkono Hoja hii iliyofadhiliwa na Sen. Mumma. Asante.
view
19 Sep 2023 in Senate:
Asante, Bi. Spika wa Muda. Langu ni kutoa pole kwa watu wa Kaunti ya Lamu waliofiwa. Ni masikitiko makubwa kupoteza ndugu zetu na hao ndugu, wako na familia. Wako na watoto, ni baba, kaka na pia ndugu za watu. Tunaomba Serikali ifanye vyovyote vile kusuluhisha na kuweka usalama upande huo, ili maisha na kazi za watu wetu wengine kama wavuvi ziendelee. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate.
view
19 Sep 2023 in Senate:
Lamu inajulikana kama mji wa tourism. Tunaomba Serikali iingilie kati ili watu wawe huru kufanya kazi zao bila uoga au tashwishi. Lakini ninaomba tu Wakenya na Serikali isilete ukabila, siasa au jambo lolote la kuvuruga zaidi. Wale wanajeshi wetu waliopelekwa Somalia warudi Kenya ili waongoze katika kutunza usalama. Tuangalie nyumbani kwanza kwa sababu mcheza kwao hutuzwa. Usalama kwanza uanze kwenu. Kama kwenu hakuna usalama, ya nini kulinda usalama katika nchi nyingine? Tunaomba Serikali ilete usalama wote Kenya kwanza, tuwe na nafasi, watu wote wawe huru kufanya kazi zao, halafu ndio tupeane usalama upande mwingine. Bi Spika wa Muda, ninatoa pole ...
view
31 Aug 2023 in Senate:
Mr. Deputy Speaker, Sir, I thought we were through with the
view