20 Mar 2024 in Senate:
Bw. Naibu wa Spika, ni kweli kwamba nilisema kwa muda wa wiki mbili, mwanakandarasi huyo atakuwa amerejea kuendelea na kazi kwenye barabara kutoka Ngong kuelekea Suswa. Kutokana na sababu ambazo nimeeleza hapo awali – inahusiana na mambo ya fedha, hasa bajeti – hatukuweza kumrudisha mwanakandarasi yule kwa sababu licha ya kuwa hatukuwa tumemlipa Kshs600 million, alihitaji zaidi ya pesa iliyowekwa kwa bajeti. Ilitubidi tuendelee na mazungumzo. Tuna imani kwamba hivi karibuni, mwanakandarasi huyo atarejea barabarani. Nachunga ulimi wangu kwa sababu sitaki kurudia kusema wiki mbili, licha ya kuwa alikuwa amekubali kurudi kwa muda wa wiki mbili. Lakini tulipata shida baada ...
view
20 Mar 2024 in Senate:
Sen. Olekina, yeye amekwama kwenye masuala ya barabara hii tangu tuwe mashinani naye na tukiwa hapa kwenye Bunge. Ninampongeza kwa sababu anaendelea kusukuma masuala ya hiyo barabara lakini ninamwomba atupe muda mchahe tutafute hela ndiposa tuweze kumrudisha yule contractor . Sio yeye peke yake. Seneta wa Kaunti ya Kisii, Seneta wa Nyamira na viongozi kutoka sehemu hiyo kama vile Bomet, wamekuwa wakinisukuma kuhakikisha ya kwamba barabara hiyo imefunguliwa kwa sababu ile njia ya Maai Mahiu inawaletea shida kubwa sana. Asante.

Mr. Deputy Speaker, Sir, it is not possible that any county incurred money under the Road Maintenance Levy beyond a given financial year. Road Maintenance Levy is only capped for that financial year. So, for the year that the county was given, that is the year they spent. The problem is that because it is not for construction, it is for maintenance. Maintenance is based on annual allocation. So, it is not possible that there is a county that did the same. It would only have been possible if it was development money.

Thank you, Mr. Deputy Speaker, Sir. On the maintenance, I had addressed that issue on the sugar cane growing areas, a very important sector.

The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.

When we come up with that policy that I said earlier of increasing the allocation - can you imagine that only the Kshs60 billion is meant for all the roads KeNHA, KURA, KeRA - we will then be able to upscale our activities in terms of maintenance of the roads. Meanwhile, what is available now, we are using them, but also because the county collects cess from the sugar factories and farmers, it is important to put them under pressure to make sure that the other roads are maintained within the county. Sen. Eddy is passionate about this issue and ...
view