Kipchumba Murkomen

Parties & Coalitions

Full name

Onesimus Kipchumba Murkomen

Born

1979

Email

omurkomen@yahoo.com

Link

Facebook

Telephone

0722 278455

Link

@kipmurkomen on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 831 to 840 of 8498.

  • 28 Sep 2021 in Senate: Sen. Poghisio: I cannot repeat it because I will have participated. view
  • 23 Sep 2021 in Senate: Bi. Spika wa Muda, nashukuru kwa nafasi ambayo umenipa. Nitaanza kwa risala za rambirambi kwa jama na marafiki wa Bw. Alex Macharia, ambaye kwa lugha ya kisasa tunasema kwamba ni hustler. Imekuwa jambo la kusikitisha sana kuona kwamba miaka baada ya kupitisha Katiba mpya, bado polisi wetu wanatumia nguvu kuumiza wananchi wa kawaida. Tunajua kwamba view
  • 23 Sep 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 23 Sep 2021 in Senate: Bi. Spika wa Muda, swali hili lililoletwa na Sen. Sakaja ambaye ni Seneta wa Kaunti ya Jiji la Nairobi ni la maana sana. Kwanza kabisa hali ya afya katika kaunti zetu, si Nairobi tu, iko na shida kubwa sana. Sijui hali ya Kisumu Kaunti unapotoka, Bi. Spika wa Muda, lakini Elgeyo Marakwet ninakotoka, kazi iliyofanywa na serikali za kaunti katika muhula wa kwanza wa ugatuzi ilikuwa bora kuliko wale wamefanya katika muhula wa pili hasa magavana wanaomaliza muhula wao wa pili. Nilikuwa Elgeyo Marakwet mwishoni mwa juma. Hospitali kuu ya Iten iko katika hali hatari sana. Wagonjwa wengi wanalala sakafuni ... view
  • 23 Sep 2021 in Senate: The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 23 Sep 2021 in Senate: Bi. Spika wa Muda, unajua kwamba kaunti ya Jiji la Nairobi inasimamiwa na meja jenerari wa jeshi la taifa la Kenya. Si kwamba amestaafu bali sasa hivi ni meja jenerari. Tulipoambiwa kuwa kaunti ya Jiji la Nairobi imewekwa kuongozwa na meja jenerari nilileta taarifa hapa nikauliza, “inawezekanaje tulete wanajeshi wetu ambao wanaheshimika dunia nzima waingie katika nyanja za siasa na kufanya mambo ya executive na kusimamia ununuzi?” view
  • 23 Sep 2021 in Senate: Itawezekanaje Sen. (Dr.) Mbito kuita meja jenerari aje kuulizwa maswali katika Chumba hiki? Kwa muda wote tangu kaunti ya Jiji la Nairobi iwe na NMS hakuna siku meja jenerari ameitwa na Kamati yoyote ya Seneti na akaja. view
  • 23 Sep 2021 in Senate: Bi. Spika wa muda, ingekuwa Maj. Gen. Badi ni mwanajeshi mstaafu, ingekuwa rahisi sana kwake kufanya kazi za raia wa kawaida. Lazima tuwaheshimu wanajeshi wetu kwa kuwaondoa katika siasa kama hali ilivyo hapa Kaunti ya Nairobi. Natumaini kuwa katika miaka ijayo, hatutakumbwa na shida iliyoko katika Hospitali ya Mbagathi hivi sasa. Natumaini kuwa Kamati ya Afya inasikiliza mapendekezo yetu na itayashughulikia. view
  • 23 Sep 2021 in Senate: Sen. (Dr.) Ali, alikuwa na cheo wakati mmoja katika Kamati ya Afya. Alikuwa Naibu Mwanyekiti wa Kamati ya Afya wakati nilikuwa kiongozi wa walio wengi hapa Seneti. Sasa hivi Sen. (Dr.) Ali ni mwanakamati wa kawaida tu. Naomba Kamati ya Afya na kamati zinginezo zihakikishe kwamba watu wote wanawajibika. Ni lazima Kamati ya Afya ihakikishe kwamba kaunti zote zina zingatia afya kikamilifu ili kuendeleza taifa letu. view
  • 23 Sep 2021 in Senate: On a point of order, Madam Temporary Speaker. Is it in order for Sen. (Dr.) Ali, the Senator for Wajir County, to mislead the House on what I said? I clearly stated that in my days, Sen. (Dr.) Ali was the Vice-Chairperson of the Committee on Health and that by him moving from a Vice-Chairperson of the Committee of Health to an ordinary Member is a demotion within that Committee. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus