Ledama Olekina

Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

Born

11th November 1974

Link

Facebook

Web

http://www.ledama.com/

Link

@ledama on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 2951 to 2960 of 4088.

  • 23 Jul 2019 in Senate: considering our Bill, they will be the ones denying them money. This is a House of reason--- I am quite happy to see the Clerk walking and getting ready to go and do what we have asked him to do. In fact, we should even escort him, so that we can show Kenyans that we mean business. view
  • 23 Jul 2019 in Senate: I would like to congratulate all my colleagues and thank you for standing up for devolution and Kenyans. When history will be written, this House and the 68 Members who make up this House, will have a big portion of the space of history in this country as having stood firm for devolution. I support and thank you all for defending devolution. view
  • 23 Jul 2019 in Senate: Bw. Naibu Spika, shukrani kwa kunipa nafasi ili niweze kuchangia taarifa hii ya mipango ya Serikali Kuu kujenga kwa niaba ya kaunti tano. Sisi sote tunajua ya kwamba, kaunti hizi ni kaunti za uvuvi. Huu ni utendakazi ambao umegatuliwa. Katika serikali ya ugatuzi, ni lazima sisi kama Seneti ya Kenya tujaribu kuhakikisha ya kwamba, majukumu ambayo yamegatuliwa yafaidi wale watu walio katika kaunti. Tujenga makao haya hapa Nairobi ni madharau na upotuvu wa nidhamu na heshima kwa watu wa maeneo ya pwani. Mimi kama Seneta wa Kaunti ya Narok ninalipinga jambo hilo kabisa. Wakianza kuleta kila jukumu hapa Nairobi, kesho ... view
  • 23 Jul 2019 in Senate: Bw. Naibu Spika, kitendo hicho ni kama kutoa nyama kwa mdomo. Sisi kama Maseneta ambao tumekuja katika Bunge hili ili tuweze kuwa kitu kimoja, tunaipinga. Ningependa kwanza kuomba kwamba makao ya Waziri wa Kilimo, ufugaji na uvuvi yanastahili kuwa katika maeneo ya pwani. Hii ni kwa sababu jimbo la pwani linaweza kulisha Kenya yote kwa issue ya samaki . Shukrani. view
  • 18 Jul 2019 in Senate: Asante sana, Bw. Spika, kwa kunipa nafasi hii ili nichangie “Mswada” huu kuhusu shida ambayo Wakenya wanapitia kufuatia malipo ya stima. view
  • 18 Jul 2019 in Senate: Bw. Spika, hii ni shida ambayo italeta --- view
  • 18 Jul 2019 in Senate: Bw. Spika, kwanza kabisa, nashukuru kwa kukosolewa. Ni lazima Wakenya waelewe shida ambayo tunajaribu kutatua hapa. Bw. Spika, kama wanachama wa Kamati ya Kawi, tutajitolea na kuhakisha kwamba tumefuatilia jambo hili, kwa sababu Wakenya wengi wanaumia. Zile bills ambazo Wakenya wanapata--- Bw. Spika, ukipata taarifa ya matumizi unaona ya kwamba--- view
  • 18 Jul 2019 in Senate: Mheshimiwa Spika, nashukuru kwa kunipa nafasi hii ili niweze kuchangia Taarifa ya mwenzangu, Sen. Khaniri, kuhusu matumizi ya stima katika nchi hii. Shida ambayo tunapata, kama Wakenya, ni kwamba kuna kampuni ambapo ufisadi umekita mizizi. Hali hii imekithiri hadi kiasi kwamba wafanyikazi katika kampuni hizi wanatafuta namna za kuwaibia na kuwahangaisha Wakenya. Bw. Spika, Kama Bunge, tunapaswa kusimama imara ili tutatue shida hii. Shida hii haiwezi kutatuliwa iwapo tutasema kuwa ni Kamati tu inaweza kuiangalia. Hii ni shida ambayo itatuhitaji sote, Maseneta 68 tunaosimamia Kenya nzima. Tunafaa tuketi The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. ... view
  • 18 Jul 2019 in Senate: pamoja na kujadiliana iwapo ni sheria tutabadilisha ili tuweze kumaliza monopoly inayoendelezwa na kampuni ya kusambaza umeme. view
  • 18 Jul 2019 in Senate: ( Laughter) view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus