Ledama Olekina

Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

Born

11th November 1974

Link

Facebook

Web

http://www.ledama.com/

Link

@ledama on Twitter

All parliamentary appearances

Entries 2961 to 2970 of 4088.

  • 18 Jul 2019 in Senate: Bw. Spika, hilo ndilo swala tunalostahili kujadiliana kwa sasa ili tuweze kujua kama Kaunti ya Narok kuna kampuni ambayo inaweza kuzalisha kawi na kuusambaza huko. Hii itasaidia kumaliza monopoly na kuwasaidia Wakenya wetu. Lakini jinsi tunavyoendelea sasa, hatuwezi kuwasaidia Wakenya. view
  • 18 Jul 2019 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker, for giving me a minute to contribute to this Motion. When I came to this House, I promised to defend the Constitution of Kenya against all enemies; foreign or domestic. That is the power given to me by Article 3 of the Constitution, which requires every Kenyan, including Members of the National Assembly to defend it. We should not get to a position where people seem not to value the Constitution. I remember someone once said that it does not require a majority to prevail, but rather, an irritated minority, tireless and keen to set ... view
  • 18 Jul 2019 in Senate: Thank you, Mr. Temporary Speaker, Sir. I rise to support the Statement by the distinguished Senator for Uasin Gishu County. This House pronounces itself through Motions and Acts of Parliament. Therefore, it behooves everyone who this House has directed to carry out a particular task to fulfill it without any delay. Article 125 of the Constitution of Kenya gives this House, or any Committee of this House, powers to call for evidence. When I listened to my colleagues, and after I read the Statement by the distinguished Senator for Uasin Gishu County, I find that this is a problem that ... view
  • 18 Jul 2019 in Senate: all the corrupt cartels who have destroyed this economy by allowing them to import duty- free maize, yet this House had already pronounced itself and given recommendations. This is total disrespect of the rule of law. Mr. Temporary Speaker, Sir, this is something that annoys me. When you look at statistics worldwide, the production of maize surpasses that of rice. All over the world, there is heavy production of maize. Why would Kenya be different? Sometimes we have challenges with our weather. However, this year, the Almighty God has been generous to us and our farmers have grown their crops. ... view
  • 17 Jul 2019 in Senate: Bw. Spika, nakuunga mkono kuwakaribisha wanafunzi kutoka Kaunti ya Makueni kwa niaba ya Seneta wa Kaunti ya Makueni, Sen. Mutula Kilonzo Jnr. Nawahimiza wanafunzi watunze mazingara yao kwani ni jambo muhimu. Nawasihi wanafunzi wapande miti shuleni. Sisi ni viongozi wa leo na wao ndio viongozi wa kesho. The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 17 Jul 2019 in Senate: Maafisa kutoka Kaunti ya Nyamira wakitazama Seneti wataona kwamba tunatumia teknolojia kujadili mambo hapa. Hapo mbeleni, tulikuwa tunatumia makaratasi mengi lakini sasa mambo yamebaadilika. Naomba kwamba wakirudi Kaunti ya Nyamira, watumie teknolojia kama Seneti. view
  • 17 Jul 2019 in Senate: Mhe. Spika, nakushukuru kwa kunipa nafasi hii ili nichangie mjadala huu kuhusu ukosefu wa nidhamu kwa wanafunzi. Zamani tulipokuwa shule, wakati tulipokuwa “Kidato cha Kumi” ama Form Two, kulikuwa na unyanyasaji wa wanafunzi. Mjadala huu ni wa maana sana kwa sababu katika shule nyingi katika nchi hii, wanafunzi wengi wananyanyaswa ama bullying. Ningemhimiza Mwenyekiti wa Kamati ya Elimu aweze kutilia maanani jambo hili---- The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate. view
  • 17 Jul 2019 in Senate: Bw. Spika, Waswahili walisema, asiyefunzwa na mamake, hufunzwa na ulimwengu. Nimekubali kufunzwa na wenzangu kwa sababu mimi nimefanya direct translation. Nimetafsiri kuwa kile ambacho Wazungu wanasema 10th Grade; ambacho ni kidato cha kumi ukifanya utafsiri huo. Lakini nimeshukuru kuelezwa ya kwamba ni kidato cha pili. Tukiwa hapa, sisi wote tunajifunza. Ili tusipoteze umuhimu wa Taarifa ambayo imeletwa na Seneta mwenzetu, ni lazima sisi kama viongozi tutilie maanani mambo ambayo yanaathiri wanafunzi katika shule zetu. Ni vibaya sana kwa mzazi kumpeleka mtoto wake shule kusoma lakini anadhulumiwa na wenzake. Ikiwa kuna dhuluma view
  • 17 Jul 2019 in Senate: Leo hii, nimesema ya kwamba, katika Bunge hii tunakubaliwa kutumia lugha ya Kiswahili--- view
  • 17 Jul 2019 in Senate: Kwani umekuwa mwalimu wa Kiswahili? view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus