All parliamentary appearances
Entries 5381 to 5390 of 6328.
-
15 Mar 2023 in National Assembly:
Ahsante, Mhe. Owen Baya. Nafasi hii itamwendea Mheshimiwa wa Kitui Kusini, Racheal Nyamai. Endelea Mhe. Nyamai.
view
-
15 Mar 2023 in National Assembly:
Ahsante Mhe. Nyamai. Kufunga ni kunukuu. Ningependa kumpa Mbunge wa Akina Mama wa Tharaka-Nithi nafasi hii. Hoja ya nidhamu huwa wakati kuna jambo ambalo liko kwa Ukumbi ambalo halijaenda sambamba, na hakuna jambo lolote lililo kwa Ukumbi wakati huu. Mhe. Susan.
view
-
15 Mar 2023 in National Assembly:
Mheshimiwa, tafathali endelea.
view
-
15 Mar 2023 in National Assembly:
Hon Gikaria, what is your burning point of order? The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view
-
15 Mar 2023 in National Assembly:
Ahsante Mhe. Gikaria. Tumekuskia, lakini Hoja iliyo hapa unaweza kuunga mkono bila kutangaza vile unavyoshiriki mambo ya ngono, isiwe baadhi ya mambo ambayo tunatazamia katika Mjadala huu. Tujadili Hoja hii ilivyo. Mhe. Susan, tafathdali endelea.
view
-
14 Mar 2023 in National Assembly:
(Gilgil, UDA)
view
-
14 Mar 2023 in National Assembly:
This chance will go to the Member for Westlands, Hon. Timothy Wanyonyi.
view
-
14 Mar 2023 in National Assembly:
Thank you, Hon. Timothy. This chance goes to the Member for Bonchari, Hon. Charles Onchoke.
view
-
14 Mar 2023 in National Assembly:
Thank you. Deputy Leader of the Minority Party, Hon. Robert Mbui.
view
-
14 Mar 2023 in National Assembly:
Thank you, Leader of the Majority Party.
view