23 Apr 2024 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, nimekusikiza ulipokuwa ukitoa mwelekeo wako. Kabla Sen. (Dr.) Khalwale aseme ikiwa atakuja kueleza au la, nafikiri ni vyema mimi pamoja na Naibu Mwenyekiti wa Kamati ya Uhasibu wa Pesa za Umma, almaarufu, County Public Accounts Committee (CPAC), tueleze jinsi Sen. (Dr.) Khalwale alivyosema.
view
23 Apr 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
23 Apr 2024 in Senate:
Tulipoenda kule Mombasa kama wanakamati, kama alivyosema, milioni mia tano zilikuwa tayari zimewekwa katika akaunti. Hii ni taarifa iliyo katika kumbukumbu zetu hapa za Bunge. Kwa hivyo, mtu hafai hata kumwuliza Sen. (Dr.) Khalwale. Bw. Spika wa Muda, nipe nafasi nimalize---
view
23 Apr 2024 in Senate:
Niko kwenye hoja ya nidhamu. Niruhusu niendelee ili ubaini ikiwa ni maelezo au hoja ya nidhamu.
view
23 Apr 2024 in Senate:
Ni hoja ya nidhamu. Kiongozi wa Wachache, Jaji mstaafu, Sen. Madzayo, aliyatumia maneno haya haya kwamba ni sawa maneno haya yathibitishwe. Hicho ndicho nilitaka kueleza kwenye hoja yangu ya nidhamu. Basi ningependa kumfahamisha, Sen. (Dr.) Khalwale.
view
23 Apr 2024 in Senate:
Bw. Spika wa Muda, ili kumfahamisha Seneta, wakati tulienda Mombasa, sababu ilikuwa kuwa Mkaguzi Mkuu wa Hesabu, almaarufu, Auditor-General, alisema kuwa milioni mia tano zilikuwa zimetumika kwa uwanja huo ambao Sen. Faki ameomba uongezwe bilioni moja nukta saba. Tulipofika kule, tulipata hakuna kitu. Naibu wa Mwenyekiti anaweza kuthibitisha kuwa tulipoenda kule, hatukupata kitu kilichofanana na milioni mia tano. Ndio maana Sen. (Dr.) Khalwale amesema ni lazima mambo haya yaelezwe. Najua amepata taarifa sasa.
view
23 Apr 2024 in Senate:
Thank you, Madam Temporary Speaker, for giving me this opportunity to support this Motion. As I support it, I believe that the intent and spirit in asking for timely disbursement of funds from the Government is that the government being spoken about is the county government. I derive my assertion from the Fourth Schedule of the Constitution of the Republic of Kenya, Part II, on the functions and powers of county Governments. Function No. 12 is fire fighting services and disaster management. That is a preserve of the county government. Part 11(a) on storm water management is also a preserve ...
view
23 Apr 2024 in Senate:
The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard and AudioServices, Senate.
view
23 Apr 2024 in Senate:
happen in the coming one month or two weeks, it was, therefore, expected that yesterday, there would be very heavy rains in Nyandarua. Even as I speak about disaster and response to disaster, we must also speak about averting disasters. If we do open up waterways, if our drainages are not working and if we do not open the routes where water takes its natural course in readiness for coming rains that will be very heavy, then we will always find ourselves in these kinds of situations. Even as we respond to that disaster, there is a way we can ...
view