Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 191 to 200 of 211.

  • 15 Aug 2018 in National Assembly: Coconut trees are easy to grow compared to other cash crops in this republic. You do not need much fertiliser to grow coconut trees. The care given to this kind of cash crop is lesser compared to other cash crops such as tea, coffee or others. This means that we need a small boost as Coast people to ensure that this once thriving cash crop revamps again. view
  • 15 Aug 2018 in National Assembly: So, according to the reports, Coconut oil which is a by-product of a coconut crop is one of the nine internationally traded vegetable oils and ranks eighth in the global production. One third of the world’s population depends on coconut for nutrition or trade. view
  • 15 Aug 2018 in National Assembly: This means that once this kind of crop is given special attention, it will create wealth not just for the people of Kilifi but for Kenyans. It will create job opportunities. Once an industry is set up whether in Kilifi, Kwale or anywhere along the Coast many youth will be employed here and jobs will be created. It is high time the Ministry concerned gives priority and ensures that once this Motion is passed and this House resolves that compensation and finances are set aside for the growth of this crop, then that Ministry should move with speed to ensure ... view
  • 15 Aug 2018 in National Assembly: With those few remarks, I support. Thank you. view
  • 25 Jul 2018 in National Assembly: Ahsante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii niweze kuchangia katika Hoja hii ambayo imeletwa na rafiki yangu, Mbunge wa Kilifi Kaskazini, Mheshimiwa Owen Baya. view
  • 25 Jul 2018 in National Assembly: Kwanza, tunavyojua, mkorosho ukilinganishwa na mimea mingine ambayo imepandwa katika sehemu nyingine za nchi kama vile kahawa ama majani chai utaona kwamba mkorosho ni rahisi sana kukuza. Ile mbolea ambayo inatakikana ili kukuza kahawa au majani chai si ile ambayo inahitajika kukuza mkorosho. Kwa hivyo, kukuza mkorosho huwa ni rahisi zaidi. Hii ndio imefanya mkaazi wa Kilifi kuhakikisha kwamba anautunza kwa vile unaleta mazao kwa urahisi. Mkorosho umekuwa ukichangia sana maisha mema kwa wakazi wa Kilifi na Pwani. Saa hii, kwa sababu kiwanda hiki cha korosho ama sekta hii ya korosho imefifia ndani ya Kilifi na Pwani, wananchi wengi wanauza ... view
  • 25 Jul 2018 in National Assembly: Mapato ya mkorosho yatachangia sana. Mkazi wa Kilifi na Pwani kwa jumla ataweza kuweka chakula juu ya meza. Tutahakikisha kuwa hakuna wakati hata mmoja tutahangaika na kuomba serikali kwamba tunataka chakula cha msaada. Hii ni kwa sababu njaa inapokuwa nchini utaona ni Ganze, Kilifi ama Magarini. Ni kwa sababu serikali haijawawezesha wakaazi wa Pwani, Kilifi, Magarini au Ganze, sehemu ambazo ni rahisi kabisa ambazo tukizifufua tutahakikisha kwamba wakazi wanapata mapato ya ziada. view
  • 25 Jul 2018 in National Assembly: Tanzania saa hii imebobea upande wa ukuzaji korosho. Ni nchi ambayo hapo nyuma ilikuwa inakuza korosho kwa uchache. Hata hivyo, kwa sababu Kenya imelegea katika ile wizara husika ya ukulima, haijaona kwamba ni muhimu kupatia nafasi mkorosho. Ndio unaona saa hii Tanzania imetupita lakini kama wizara ya ukulima itaweka mkazo katika sekta hii ama katika ukulima wa mkorosho, mimi ninaamini kwamba zaidi ya bilioni moja itatoka kutoka sekta hii. view
  • 25 Jul 2018 in National Assembly: Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii. view
  • 5 Jun 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker, for giving me this opportunity to contribute to this important debate. First, I remember the President reminded us of the Constitution. He said it is a tool which guides us to free, fair and inclusive Kenya and all this is not happening. This House has been creating laws that have come with departments and commissions knowing that such commissions or departments will be able to address challenges that are facing Kenyans. As we speak, corruption talk has been going on in Kenya. We talk of money being lost but there is big corruption that ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus