8 Sep 2021 in Senate:
On a point of information, Madam Deputy Speaker.
view
8 Sep 2021 in Senate:
On a point of order, Madam Deputy Speaker.

Madam Deputy Speaker, is it in order for Sen. (Dr.) Ochillo- Ayacko, to insinuate that they are not in the current Government? They are in the current Government and have taken most of the committee chairs---

7 Sep 2021 in Senate:
Asante Bi. Naibu Spika kwa kunipa fursa ya kumwomboleza mwendazake, ndugu yetu, Sen. Victor Prengei. Alikuwa kijana mdogo shupavu ambaye alikuwa katika ujana wake. Alikuwa pia rafiki wa karibu. Nilikuwa kwenye kamati ambayo ilifanya maandalizi ya sherehe yake ya mwisho. Tulikuwa naye kwenye Kamati ya Delegated Legislation . Ni mtu aliyependa watu wake sana. Tulipokuwa na Mswada kuhusu watu wake, vijana ama jamii ndogo, alikuwa na roho ya kufanya jambo. Tulisumbuka naye sana kwenye chama chetu cha Jubilee. Alikuwa Mariashoni kule Elburgon na akapata ujumbe mfupi wa kumwalika aende mkutano. Wengi wetu ambao tulienda huko kwenye sherehe yake ya mwisho ...

The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.
view