Hon Mishi Juma Khamisi

Mishi actively participated in Likoni political campaigns in 1997 and 2002. She vied for Likoni parliamentary seat in 2007 and lost in party nominations which were marred by irregularities. She would like to see government funded drug rehabilitation centres established in Mombasa.

All parliamentary appearances

Entries 401 to 404 of 404.

  • 18 Apr 2013 in National Assembly: Katika Katiba yetu, sura ya tano inazungumzia swala la ardhi; inasema kuna ardhi ya kiserikali, ardhi ya kijamii na ardhi ya watu binafsi; katika mapendekezo mengi yalitolewa ni kwamba katika ardhi za kibinafsi viongozi wengi, tukiwemo sisi wa kisiasa, tumenyakua ardhi ya kiserikali. Tumenyakua ardhi za kijamii. Ni wakati wetu sisi kuwa mbele katika kuregesha ardhi hizo hata kama tuko katika nafasi kuu katika Jamhuri yetu ya Kenya. Tuwe wa ukweli katika swala la ardhi. Tunataka akina mama tupate haki zetu za kumiliki ardhi na najua katika Miswada mitatu ambayo imetolewa na ile tume ya ardhi itaweza kufanya kazi; hii ... view

  • 18 Apr 2013 in National Assembly: Bw. Spika, jambo la pili ni swala hili la kutolipa ada wakati wa kuzaa. Mimi namshukuru Mheshimiwa kwa jambo hili lakini nataka kusema kwamba hatukuelezewa kinagaubaga pesa hizi zitatoka wapi. Nahofia kwamba Wakenya watatozwa ushuru kuweza kufidia jambo kama hili kwa sababu mahali ninapotoka katika kaunti ya Mombasa, Coast General Hospital sasa hivi tunalipishwa Kshs1,800 kwa kujifungua kikawaida. Ukizaa kwa kupasuliwa unalipa Kshs7,500, view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus