Hon Mishi Juma Khamisi

Mishi actively participated in Likoni political campaigns in 1997 and 2002. She vied for Likoni parliamentary seat in 2007 and lost in party nominations which were marred by irregularities. She would like to see government funded drug rehabilitation centres established in Mombasa.

All parliamentary appearances

Entries 381 to 390 of 404.

  • 24 Jul 2013 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, juzi tuliona katika runinga kwamba Jua Kali imeanza kutengeneza meko za kupikia ambazo zinaweza kufanya sufuria zetu zisichafuke na tunapika kwa njia mwafaka. Hivyo basi ni kumaanisha ya kwamba tuna talanta nyingi sana na tunaweza kufanya mambo mengi. view
  • 24 Jul 2013 in National Assembly: Katika nchi ambazo zimebobea, tunaona kama nchi ya China kuna viwanda vidogo vidogo vingi ambavyo viko mashinani. Unapata ya kwamba hata unapotembea katika mitaa fulani unakuta pengine wanashughulika kutengeneza vijiko, mtaa mwingine wana kiwanda kidogo cha kutengeneza viberiti na haya yote ni kwa sababu wamejenga taifa lao na vijana wao kupitia taasisi hizi za kujenga ujuzi. Hivyo basi, kila sehemu imekuwa na viwanda na tunaona tunapata ajira nyingi katika nchi kama hizo. view
  • 24 Jul 2013 in National Assembly: Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda, pia napenda kusema ya kwamba wakati tunasema ya kwamba fedha hizi zitapitia katika mfumo wa CDF, ni vizuri sana sisi kama viongozi tujue ya kwamba tukitengeneza mfumo kama huu tuwe hatutaupeleka kisiasa. Isiwe kwamba vijana watakaofaidika pengine watakuwa ni vijana ambao walikufanyia kampeni ama pengine ni vijana ambao wamekuwa katika mrengo fulani wa kisiasa. Huo ni mfumo ambao utakuwa unawaangalia Wakenya kama Wakenya wote na kama vijana view
  • 12 Jun 2013 in National Assembly: Ahsante sana mhe. Naibu Spika wa Muda. Nimesimama hapa kuunga mkono Hoja hii ambayo inazungumzia swala la baraza la vijana. Kwa hakika, ni masikitiko makubwa kuona katika nchi yetu mpaka sasa hivi, baada ya kuwa tumelipitisha baraza hili, hatujalipatia ufadhili wa kuweza kufanya utendaji kazi. Tunajua vijana katika nchi hii yetu Kenya ni zaidi ya asilimia 70. Hivyo basi, wao ndio wengi katika asilimia ya wakenya wote. Ni masikitiko kwamba mashirika yasiyo ya kiserikali yamechukua kipao mbele kuunganisha vijana kuliko sisi wenyewe ambao ndio tunatawala nchi yetu ya Kenya. Kwa mfano, kuna mashirika kama Youth Agenda ama Youth Assembly. Hayo ... view

  • 12 Jun 2013 in National Assembly: vijana, walitumika katika mambo kama hayo mabaya. Hadi sasa, hakuna chombo chochote cha vijana ama baraza lolote la vijana ambalo limesimama kidete na kusema: Ijapokuwa watu hawa walikuwa ni watalii wanaokuja nchi yetu, wametenda jambo ambalo si la halali. Hayo yote ni kwamba tulikosa kwa kutowajumuisha na kuwapatia mwelekeo. Kwa vijana kuendelea, lazima wapate mwongozo. Mhe. Bi. Naibu Spika wa Muda, tunataka kazi kwa vijana. Hapo awali tulikuwa na kazi kwa vijana ambayo ilikuwa ni kazi ya ajira ya siku kadhaa ama kibarua. Sasa hivi, tunapolipatia uwezo baraza la vijana, tutaweza kuja na ajira gani ambazo zitakuwa za kupitia kandarasi? ... view

  • 22 May 2013 in National Assembly: Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nataka kuunga mkono Hoja hii, ambayo imeletwa na hon. Ng’ongo. Pia, nataka kuunga mkono mabadiliko ambayo yameletwa na hon. (Ms.) Odhiambo-Mabona. Tunajua ya kwamba katika sehemu nyingi katika Jamhuri yetu ya Kenya, watu wengi wanategemea kilimo cha samaki. Hivyo basi, iwapo tutawazuia kupata ajira yao au kupata pesa ya kuwakidhi katika maisha yao, itakuwa ni jambo la kutatanisha. Kwa hivyo, muda wa mwezi mmoja utakuwa muda mzuri wa mtu kuweza kujisatiti na pengine kujipanga vizuri katika hali yake ya maisha. Nataka kuchangia jambo fulani katika kilimo cha samaki. Kwanza kabisa, hazina hiyo itakapoundwa, ... view
  • 15 May 2013 in National Assembly: Hon. Speaker, Sir, I beg to give notice of the following Motion:- view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus