Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 1 to 10 of 201.

  • 27 Sep 2023 in National Assembly: No, we are asking. We are not directing! view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: It is not our fault. view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, niruhusu niseme kitu kwa sababu mimi nimekuwa ni mtu wa kupiga makofi na kutumbuiza wengine wakisonga. Naona kama sasa ukipea nafasi ambayo inakuja, mimi niliyepitwa mara tatu, tena nitapitwa niwe wa mwisho tena. view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, angalia kama sasa, itabidi niseme tu. view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, yule aliyekuwa akiongea, akiongea tena tutakuwa watu sita tena tutaenda mwisho na inachokesha kupanga laini na kuketi na kupiga makofi. view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Bw. Naibu wa Spika, ni ya kitambo sana. view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Bw. Naibu Spika, Mathayo 20:16- “Yesu akamaliza kwa kusema, “hivyo, walio wa mwisho watakuwa wa kwanza na wa kwanza watakuwa wa mwisho.” Siri ni kufika ukiwa umechelewa ili uweze kuongea mapema. view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: Nitachangia kwa ufupi. Mswada tunaojadili, mambo ni matatu; tuupitishe vile ulivyo, tufanye marakebisho kisha tupitishe ama tupige kura ya kuukataa. Kwa mfano, nyumba ambayo panya ameingia, hawaweza ichoma, kama vile Sen. Osotsi alisema kuwa amekataa huu Mswada. La pili, unaweza tafuta mtaalamu wa panya, kama Sen. Mbugua, akusaidie kutafuta panya; hii ni kupiga msasa na kufanyia Mswada marekebisho. Hatimaye unaweza lala na panya kwa nyumba kwani haiumi, kisha kukicha unafanya mpango tofauti. Kukosa kupitisha Mswada huu hakutaondoa sheria ambazo zimepitishwa na view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: kule mashinani ambazo wanatumia uratibu kama wa Seneti. Tunafaa tu- ringfence pesa inayotolewa na wagonjwa kwenye hospitali itumike kwenye hospitali zile. Inapowekwa kwenye mfuko moja kama sadaka, pesa zile kurudishwa kwenye hospitali ni vigumu sana. Pia, zinapowekwa kwenye bajeti ya kaunti, pesa hizo The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Director, Hansard Services,Senate. view
  • 26 Sep 2023 in National Assembly: zitatengwa kujenga barabara na kutengeneza miundo msingi. Zile fedha wakati mwingi hazirudi kwenye bajeti ya hospitali. Mswada hauko kamili, lakini kuna nafasi ya kuufanyia marakebisho. Kwa sasa, tuvumilie tu, tuupitishe ili tutengeneze njia ya kuhakikisha kuwa zile pesa zinazoletwa na wagonjwa zinatumika kwenye hospitali. Kuna hospitali kubwa na ndogo. Wakati matabibu sawa inakosa kwenye hospitali, gatuzi zinatabia ya kuhamia kwenye hospitali zilizosawa kwenye gatuzi zingine. Unapata mkusanyiko wa watu kwenye hospitali. Kuna kaunti tayari zinatumia mfumo huu. Huu si Mswada wa kwanza, na kukosa kuupitisha Mswada huu haimaanishi zile hospitali zitakosa kuendelea. Kwa sababu ya Muda, nitamalizia mchango wangu hapo. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus