30 Dec 2022 in Senate:
You overstayed at the Bar. I do not know whether you wanted us to stand up, but you have been recognized. Your presence and that of your entire Committee is well noticed. I congratulate Sen. Wafula and ask him to fit into the shoes of his predecessor, Sen. Wetangula, who is the Speaker of the National Assembly. There is a lot of potential in this House because the main mandate of the Senate is to make sure that devolution works. Sen. Wafula, join this team with a lot of self-esteem, so that we all work together to ensure that devolution ...
view

Ahsante sana Bw, Spika kwa fursa hii. Ninashukuru Bunge hili la Seneti kwa sababu ya kutoka kwa likizo yao ili wakuje hapa kwa hizo wiki mbili kuskiza maswala ambayo yako Meru. Hii ni siku kubwa sana ya Wameru nikiwa mmoja wao. Yale mambo yote ambayo yamejadiliwa katika Kamati ya wale Maseneta kumi ma moja, ni mambo yaliyokuwa wazi kwa Taifa nzima kwa sababu yalikuwa kwa rununu ama kwa teolevisheni zetu. Kwa sababu nimekuwa katika vikao vyote, wanakamati wameshauri viongozi wote; wameshauri Gavana wa Meru, walishauri pia MCAs wetu. Na kwa vile yale mawswala yako wazi kabisa katika vichwa vyetu tukiwa ...

Bw. Spika, hii Kamati ya Ugatuzi inayoongozwa na mwenye kiti Sen. Abass, ningeomba ipige kambi Meru ili iweze kusaidia ugatuzi wa Meru. Waweze kujadiliana pia wawapee ushauri. Mheshimiwa Sen. Abass Mwenyekiti wa hii Kamati ni kiongozi ambaye tumefanya naye kazi katika Bunge la Kitaifa. Ninajua ushauri wake na Kamati yake utasaidia sana Gavana wetu na usaidie County Assembly ndipo tuweze kuendelea. Siku ya leo sio siku ya ushindi wa mtu mmoja, tuseme tukitoka hapa eti tumeshinda na hao wengine wameshindwa. Ningependa tutoke hapa kama Meru imeshinda kwa ujumla.

Kwa sababu kesho na kesho kutwa tutakuwa tunaangaliwa Meru, baada ya kutoka Nairobi kwa wiki mbili, tunaeendelea namna gani pale Meru. Gavana, ninakuomba na watu wako tusijivune vile tumeshinda katika hili swala lililokuwa hapa. Tukitoka hapa, uwashauri watu wako wasiandike kwa mitandao vile kikundi chako kimeshinda wale wenzetu wa County Assembly . Wewe mwenyewe thibiti watu wako wale wanaotangaza maneno. Ninaongea kwa Kiswahili ili yule mama aliye kwa kijiji leo asikie.

The electronic version of the Senate Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor, Senate.