30 Dec 2022 in Senate:
Ninaomba uwaambie watulize boli tuungane. Mimi niko tayari na mlango wangu umefunguliwa ili tuweze kuungana na kuunganisha watu wetu. Unajua mimi kabisa nimejaribu katika hii process ndipo tukae pamoja; tukae na MCAs ili tuweze kwenda kwa safari moja. Wale wambao wanafikiria Kathuri ana mambo mengine, ninataka kuwaomba ya kwamba mambo ya uongozi kile kitu mtu atakuwa kesho na kesho kutwa, ni Mungu anajua. Mimi ninaserve serikali; ninaserve inchi yetu ya Kenya nikiwa Senator na kwa hivyo tufanye kazi pamoja. Wiki jana tumeuungana hapa na Maseneta tukapitisha sheria ile inaitwa
view

, now it is an Act of Parliament na Meru tumeongezea bilioni moja na laki mbili; tumeileta Meru last month. Kwa hivyo tutakuunga mkono vile tutaweza ili tuweze kueendeleza Meru na taifa letu pamoja. Bw. Spika pia ninakushukuru. Ninashukuru ile Kamati iliyohusika na huu msakato kwa wiki mbili; siku kumi na ninasema kwamba tutaenda sana kwa sababu hizo siku mimi nimebeba mzigo wote wa Kaunti ya Meru. Nitaomba kama kuna maswala katika kaunti yoyote, Maseneta wenzangu muwe mkiyasuluhisha hayo maneno kabla yafike hapa. Mambo yakifika hapa yanakuwa mazito zaidi. Ninashukuru Bw. Spika; ninakuombea Mungu asaidie Kaunti yetu na tuweze kuendelea ...

20 Dec 2022 in Senate:
Thank you, Mr. Speaker, Sir.
view
20 Dec 2022 in Senate:
On the onset, I want to thank you, Mr. Speaker, Sir, and the Members of this Senate for breaking your holiday to come and listen to the cries of the people of Meru. On behalf of the Meru County residents and on my very behalf, humbly receive our gratitude.
view
20 Dec 2022 in Senate:
The role of the Senate is to represent the counties as per Article 96(1) of our Constitution. The Senate represents the counties and serves to protect the interest of the counties and their governments.
view
20 Dec 2022 in Senate:
These Senators left their families and some who were even outside the country came back because they follow, protect and defend the Constitution.
view
20 Dec 2022 in Senate:
I would wish that these impeachments do not come to this House. It is unfortunate that Meru County is the first county to bring this matter. My wish is that both parties; that is the Meru County Assembly, the 67 members who appended their signatures to impeach the Governor, will be listened to together with the Governor.
view