All parliamentary appearances
Entries 221 to 230 of 1513.
-
20 Mar 2018 in National Assembly:
Ahsante sana, Mhe. Naibu Spika, kwa kunipatia nafasi hii ili nami pia niwaunge wenzangu mkono, kwamba tunahitaji halmashauri ya jiji la Nairobi, ili tupate usafiri wa kitaifa. Ukweli ni kwamba jiji la Nairobi ni letu sisi sote. Si la watu fulani. Ni la Wakenya wote. Jiji la Nairobi ndilo sura ya Kenya na pahali ambapo pesa nyingi ambazo zinatumika humu nchini hupatikana. Vile vile, nikiwapeleka nyuma kidogo kihistoria, ukiangalia wakati wa Rais Moi, utaona kwamba alijaribu kuweka usafiri kutumia mabasi ya Nyayo. Watu hawakumwelewa. Lakini leo hii, watu wakikaa, wanakumbuka kuwa Rais Moi alikuwa amefikiria kuwa na usafiri wa kitaifa. ...
view
-
20 Mar 2018 in National Assembly:
Katika jiji la London, kuna usafiri mzuri sana. Serikali imewataka watu wasafiri na usafiri ule lakini wakati mwingine, watu wengine wanapendelea kuendesha magari yao na kwenda mjini. Wanalipa ridhia pesa nyingi wakiingia mjini bila sababu nzuri. Wanalipa karibu Kshs1,000 pesa taslimu za Kenya. Ukienda miji mingine mingi utaona kuwa kuna tofauti kubwa sana kupata usafiri wa kitaifa. Kuna wasiwasi kuwa kazi za Kaunti ya Nairobi zinachukuliwa na Serikali Kuu. Swali ni kuwa, je wakiachiwa, wataweza kutatua tatizo hili?” Ukweli ni kwamba haiwezekani. Kwa hivyo, ni lazima Serikali ya Kitaifa ifanye kazi na serikali ya kaunti ili kutatua matatizo haya. Mhe. ...
view
-
22 Feb 2018 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. First of all, I want to take this opportunity to thank the membership of this august House for giving us an opportunity to serve in the Commission. The Parliamentary Service Commission Motion awaits the decision of the Senate, but I am sure we are going to sail through. I want to thank all the Members honestly from the bottom of my heart. This has been a long and protracted battle, but we are finally here and we should be able to serve the people. I give my promise that we will work and make ...
view
-
22 Feb 2018 in National Assembly:
people stay where they do their farming. It is important that all these issues are put together so that the Jubilee Government can give our people what is in the robust Bill of Rights. I am asking our colleagues to read through this Policy because most of those issues have been tackled here. I know the Government is keen on making sure that these issues are carried out. We cannot say we have implemented the Constitution if we do not seriously look at affordable housing. That is why our President Uhuru Kenyatta, decided to make it a centre piece in ...
view
-
20 Feb 2018 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia fursa hii nami pia niongeze sauti yangu kwenye suala hili la ruwaza ya Serikali Kuu kuhusu masuala ya mazingira na hasa hali ya anga na fedha za kuweza kufadhili masuala haya. Jambo la kwanza nitakalofanya ni kutoa shukrani kwa Waziri anayesimamia masuala ya kifedha ambaye ameona kuna umuhimu wa suala hili kujadiliwa sasa hivi. Si siri kuwa tumefanya masuala ya utani. Tumetania mazingira yetu. Hivyo basi Kenya hii imekuwa na matatizo. Mara kwa mara tukitoka kwenye hali ya ukame tunaingia kwenye hali ya mafuriko huku maji ya mafuriko yakimwagika na kuishia ...
view
-
20 Feb 2018 in National Assembly:
za kuweza kusimamia masuala haya ni kitu ambacho si tu kiwe kimeandikwa kwenye vitabu vizuri vya Serikali bali kiweze kufuatilizwa na kuhakikisha kuwa pesa hizi zitatumika vilivyo. Mwanzo, Serikali yetu kupitia Waziri Keriako Tobiko ihakikishe kuwa suala la awali ni wananchi wapande miti. Kila mtu akipanda miti isiyopungua kumi kwenye mji wake tayari tutaona tofauti kubwa sana. Tumeharibu mazingira na tumeanza kuwa na shida ya maji. Hapa Kenya, mara nyingi hata maji yale ambayo yanakuja kwa wingi wakati wa mafuriko yamekuwa yakiishia chini, kupotelea na kufurisha bahari bure bila matumizi. Hivyo basi ndio Serikali iliamua kuwa bomba kubwa la maji ...
view
-
29 Nov 2017 in National Assembly:
I second.
view
-
29 Nov 2017 in National Assembly:
I second.
view
-
8 Nov 2017 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. First of all, I support this Motion on the membership of the Parliamentary Pensions Management Committee. The Members, namely, Hon. Dan Wanyama, Andrew Mwadime and Rehema Jaldesa, will do a good job. At the moment, we require a lot of things to be done, considering the new issues which have been put in place and including how our pension is being administered. I want to support that these Members have quite a bit of work to do and they are going to do a lot of work for the 12th Parliament. They are going ...
view
-
8 Nov 2017 in National Assembly:
Ahsante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Hakuna jambo la muhimu kama kuwa na mipangilio kikamilifu kuhakikisha kuwa nchi yetu na miji yetu imepangwa kisawasawa, na haswa, katika hali ya mambo ya ujenzi wa nyumba za kuishi na za kufanyia shughuli za kibiashara. Naunga mkono Hoja hii ya Ruwaza ya Serikali ya Kenya ya kuhakikisha kuwa mipangilio hiyo inafanywa kisawasawa. Miji ya Nairobi, Mombasa, Kisumu na Eldoret ni miji ambayo imepitwa katika mipangilio yao kwa sababu ya idadi ya watu wale ambao wameongezeka katika miji hiyo. Kwa hivyo, kuna umuhimu kuwa miji mingine pia iweze kupangwa kikamilifu ili iweze kupunguza ...
view