All parliamentary appearances
Entries 461 to 470 of 1513.
-
24 Mar 2016 in National Assembly:
Ahsante sana Mheshimiwa Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii nami pia kuunga mkono Mswada huu wa kuweza kuongeza muda wa kukagua mahakimu na majaji kwenye tume ambayo inatakikana kufanya hiyo kazi. Tume hii ilipatiwa kazi kufuatia sheria na Katiba mpya ya nchi yetu ya Kenya. Walivyopatiwa kazi, hawakujua mwanzo kuwa kazi hiyo ilikuwa ni nyingi kadri ambavyo ingechukua muda mrefu. Lakini nataka kusema kuanzia hapo awali kuwa kazi waliofanya, walijaribu kadri ya uwezo wao.
view
-
24 Mar 2016 in National Assembly:
Tume hiyo imepata matatizo kadha wa kadha. Hata mahakama yenyewe pia iliwatatiza tangu pale mwanzo. Ilichukua muda kuweza kuendeleza kazi yake kwa njia ambayo ilikuwa inatakikana kwa urahisi na kwa wepesi. Hivyo basi, wakati wa kukagua mahakimu na majaji, waliweza kufanya kazi nyingi zaidi. Walichukua muda mrefu kwa kila jaji kwa sababu mambo yalikuwa bado hayajashika kasi.
view
-
24 Mar 2016 in National Assembly:
Muda huu wanaouliza wa miezi mitatu kuweza kumaliza maswala yale ambayo walikuwa wametumwa kuyatekeleza inafaa uongezwe. Bila shaka ni sawa kwa Bunge hili la Kumi na Moja kuweza kuwaongezea miezi hiyo mitatu, ili waweze kutekeleza jukumu lao na kulikamilisha inavyotakikana. Nakubaliana na wenzangu ya kwamba tume ya kusimamia maswala ya mahakama imekuwa na matatizo mengi. Wakati ni sasa sisi tuweze kuangalia sheria iliyotengeneza tume hiyo ili tuweze kutengeneza kuwa wale wanachama wa tume waweze kufanya kazi pasipo kuchanganyikiwa na kazi zile zao za uwakili na ujaji. Katiba imewapatia nafasi ya kukaa pale, lakini inawachanganya kwa sababu vile vile wanaendelea na ...
view
-
24 Mar 2016 in National Assembly:
pongezi. Waongezewe miezi mitatu ili wamalize hiyo kazi ngumu waliopewa na Katiba yetu ya Kenya. Naunga mkono.
view
-
24 Mar 2016 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I want to donate one minute each to the following Members: Hon. Zainab Chidzuga from Kwale, Hon. Dawood Rahim from Imenti North, Hon. Joseph Manje from Kajiado North, Hon. Fatuma from Wajir and Hon. Opiyo. Those are six minutes. Finally, I will donate to Hon. (Eng.) Gumbo.
view
-
24 Mar 2016 in National Assembly:
Hon. Opiyo has not contributed.
view
-
24 Mar 2016 in National Assembly:
Much obliged, Hon. Temporary Deputy Speaker. I want to thank all the Members for their contributions. The oversight of county governments is a mandate of the Senate and it looks like they are sleeping on the job. We only seem to hear that most Senators want to become governors. I beg to reply.
view
-
23 Mar 2016 in National Assembly:
Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I also rise to support the Division of Revenue Bill, 2016. What is important is to note that the two levels of Government are going on as it was contemplated in the Constitution. This year, the county governments have been given a share of 30.4 per cent of the revenue collected in the year 2013/2014. I want to state from the beginning that as the money goes to the counties, it is important for the governors, who have the executive powers, to make sure that the money is utilised for the right purposes. As ...
view
-
23 Mar 2016 in National Assembly:
Hon. Temporary Deputy Speaker, we hardly seem to know where the monies or the revenues collected by the county governments go. We do not seem to know how much is collected and even when it is collected at the county level, there is no proper planning on how the money will be utilised.
view
-
23 Mar 2016 in National Assembly:
As I wait for the rest of my allocation of the time that has been left, I would like to stop there.
view