Naomi Shaban

Parties & Coalitions

Full name

Naomi Namsi Shaban

Born

9th September 1963

Post

P.O. Box 73855 - 00200 Nairobi

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

namsi-ns@yahoo.com

Telephone

0722814412

Telephone

0202215245

All parliamentary appearances

Entries 911 to 920 of 1513.

  • 26 Feb 2014 in National Assembly: Mimi nimesimama kwanza kumpongeza Mhe. Lelelit, ambaye anawakilisha Samburu Magharibi, kwa kufikiria kuwa itatubidi turekebishe Katiba kidogo ili The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 26 Feb 2014 in National Assembly: Equalization Fund iweze kueleweka vizuri. Maeneo yale ambayo ni duni hapa nchini kimaendeleo ndiyo hayakuweza kupatiwa hata pesa za kutosha kupitia serikali za kaunti. Sababu moja ya umuhimu ni kuwa na uchache wa watu. Katika tume ambayo inasimamiwa na Bw. Cheserem, walisahau kwamba maeneo hayo ndiyo yanayohitaji maendeleo mengi. view
  • 26 Feb 2014 in National Assembly: Kuhusu idadi ya watu, ukitumia asilimia 45 kugawa pesa, kwa sababu ya wingi wa watu, basi utaendelea kudunisha maendeleo kwenye maeneo hayo kwa sababu huko hakuna watu. katika Taita Taveta pesa zile ambazo tumepatiwa mwaka huu, awamu hii ya kwanza ni Kshs2.8 milioni. Ukiondoa pesa ambazo ni za kulipa wafanyikazi, utaona kwamba pesa ambazo zimebaki ni kidogo. Wenye kutengeneza hii katiba walijua wazi kwamba, kama kutakuwa na makosa kwa sababu asilimia kubwa ya pesa zinapatiwa sehemu kulingana na idadi ya watu, maeneo yaliyo nyuma kimaendeleo yatazidi kuumia. Hii ndiyo sababu wakaona waweke hazina hii ya kusawazisha maendeleo kwenye maeneo hayo. ... view
  • 26 Feb 2014 in National Assembly: Vile vile Marsabit ni sehemu kubwa sana; unaweza kuunganisha mikoa kadhaa katika nchi hii ili upate eneo moja linaloitwa kaunti ya Marsabit. Ukiangalia huoni hata chembe ya lami katika eneo hili. Bila kuwa na barabara ambazo zinaweza kupitika ni shida sana kuwa na maendeleo. Vile vile, ni shida sana kwa watu kifikia huduma za afya wakitumia barabara ambazo hazifai. Ningeomba wenzangu wote kwamba asimilia 67 ya Bunge hili liweze kuunga mkono marekebisho haya ili tuweze kurekebisha Katiba. Katika hali ya kuiendeleza Katiba hii kuweza--- view
  • 26 Feb 2014 in National Assembly: Mhe. Spika wa Muda, kuna maswali ambayo ni lazima tuyaulize. Wananchi wanafikiri kwamba Wabunge pamoja na Maseneta wanalizungumuzia jambo hili kwa sababu wanataka kufikia zile pesa za maendeleo. Pesa za maendeleo zinatakiwa kusaidia watu mashinani ili waweza kuendeleza maeneo yaliyoachwa nyuma. Itakuwaje tunatarajia kuwa na kiongozi mmoja ambaye amechaguliwa kama wale wengine, na akae The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 26 Feb 2014 in National Assembly: peke yake kufanya hivyo? Hata ukiangalia sasa hivi, ijapokuwa Serikali ya Jubilee ilitoa asilimia 32 ya pesa badala ya asilimia 15, maswali yaliyopo ni, pesa hizi zinaweza kufanya nini? Zinaweza kusaidia mwananchi? Tungependa kuwe na bodi ya kusimamia maendeleo ili sote tuweze kuhusika na tujue pesa zitatumika vipi pale mashinani. Si kwamba tuna chuki kwa magavana, la! Tunataka maendeleo mashinani yaweze kufika, na tuweze kufikia malengo ambayo Katiba inaazimia. Tunataka maendeleo yaende mashinani ili wananchi waweze kujiendeleza. view
  • 26 Feb 2014 in National Assembly: Naibu Spika wa Muda, tulichaguliwa na wananchi, hatukujichagua. Kwa hivyo, kuna umuhimu wa hiyo bodi kufanya kazi mara moja. Tukipitisha hii sheria tutahakikisha kwamba mambo ambayo tunayasoma na kuyaona – tumeyaona mengi lakini si saa hii ninatakikana kuyazungumzia. Wakenya wanafahamu kwamba tuko hapa na tuna haki ya kuwapigania hasa katika maendeleo. Maana ya ugatuzi ni kung’atua pesa kutoka Serikali ya kitaifa na kuzipeleka mashinani. Asante sana. Ninaunga Mkono. view
  • 26 Feb 2014 in National Assembly: Not really, hon. Deputy Speaker. I might have pressed the wrong button. I wanted to actually contribute. view
  • 26 Feb 2014 in National Assembly: I want to contribute. Can I contribute? The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 26 Feb 2014 in National Assembly: Thank you, Deputy Speaker. Very quickly, I just want to point out certain things that need to be worked on. By the Budget and Appropriations Committee looking at the national Budget and the Supplementary Budget is so that we can allocate funds and make sure that they go where they are really needed very seriously. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus