7 Aug 2019 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, nakupa shukrani kwa kunipa nafasi ya kuchangia Mswada huu. Nampa Mhe. Tecla Tum shukrani kubwa.
view
7 Aug 2019 in National Assembly:
Mhe. Naibu Spika wa Muda, nakupa shukrani kwa kunipa nafasi ya kuchangia Mswada huu. Nampa Mhe. Tecla Tum shukrani kubwa.
view
5 Mar 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I, the undersigned, on behalf of the residents of Butere Constituency, draw the attention of the House to the following: THAT, Mr. Nicky Odongo Lubanga, a graduate of Maseno University was required to sit for Kenya Medical Laboratory Technologist and Technicians Board exams for certification. THAT, Odongo’s admission to the school meant that he had met the minimum requirement including scrutiny of the credentials and payments of the requisite admission fees of Kshs 1250. THAT, further, he paid Kshs 15,000 being examination fees to allow him sit for the said examinations which he was denied. After ...
view
5 Mar 2019 in National Assembly:
b. recommends that the Ministry aligns its programmes to the required standards; and c. makes any other recommendations it deems fit in the circumstances of this matter. Your humble petitioners will ever pray.
view
5 Mar 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I rise to ask Question No.007/2019. The Question is channeled to the Cabinet Secretary for Education. (a) Is the Cabinet Secretary aware of the many courses being offered by some universities in the country without approval by the Commission of University Education? (b) Could the Cabinet Secretary explain how the affected students were allowed to enroll and pursue unapproved courses and programmes? (c)What measures has the Ministry put in place to ensure that the public is notified on time of unapproved courses and programmes in universities?
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Asante, Mhe. Naibu Spika. Nimesimama kuchangia Hoja hii ya kufutilia mbali ada za matibabu katika hospitali za umma za rufaa pindi mtu anapofariki.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Kabla Wakenya wengi hawajapelekwa katika hospitali ya rufaa, wengi huwa wameenda kwanza katika hospitali ndogo, wametibiwa hapo, halafu wanapewa barua ambazo zinawaeleza kwamba wanafaa waende katika hospitali za rufaa. Kabla Wakenya wengi hawajafika katika hospitali za rufaa, huwa wametumia pesa nyingi katika hospitali za chini. Wanapofika kwenye hospitali za rufaa na bahati mbaya mmoja wao anafariki, Serikali inataka jamii ya mfu walipe ada ya matibabu ya mwendazake kabla wachukue maiti. Umaskini katika nchi yetu ya Kenya uko juu zaidi. Kwa hivyo, naunga mkono Hoja hii. Siyo ada ya matibabu ya mtu ambaye amefariki peke yake inayofaa kufutiliwa mbali. Kama mtu ...
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Asante, Mhe. Naibu wa Spika. Tuko na wagonjwa wengi ambao wako hospitalini na walipona lakini wasimamizi wa hospitali wamewazuia kutoka. Wanasema kwamba ni lazima walipe ada ambayo iko juu ili watoke. Wengi wa wagonjwa wanatoka mbali sana kwa sababu hospitali za rufaa ni chache nchni Kenya. Natoka Eneo Bunge la Butere. Mtu akitoka Butere anaenda hospitali ya rufaa ambayo iko Eldoret. Huko ni mbali sana. Utapata mpendwa wa mtu ama maiti imezuiliwa na ni lazima alipe ada ili mgonjwa aruhusiwe kwenda nyumbani ama maiti itolewe.
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Naunga mkono Hoja hii. Madaktari katika Kenya, pamoja na wale ambao Serikali ilitoa katika nchi ya Cuba, ni 11,000. Wakenya wote ni milioni 45. Ukipiga hesabu, utapata daktari mmoja Kenya, ukiongeza wale ambao walitolewa katika nchi ya Cuba, anatibu Wakenya 5,000. Hao ni watu wengi. Hali hiyo inawaumiza Wakenya zaidi. Naunga mkono Mbunge mwenzangu, Mhe. Mohamed Ali, kwa sababu Serikali inafaa kutenga fedha za kushughulikia jambo hili, hata kama wamesema ni sisi tunafanya hivyo ambao ni ukweli. Wakati tunaweka pesa katika Bajeti, tunafaa kuweka pesa ambazo zitawasaidia maskini na Mkenya wa kawaida kufaidika katika mambo ya bima ya afya na ...
view
20 Feb 2019 in National Assembly:
Hospitali za rufaa nchini Kenya zina vyombo ambavyo viko na technologia ya juu zaidi. Kwa hivyo, Wakenya wengi wanakimbilia hizo hospitali. Wanapotibiwa katika hospitali hizi ama wamefiwa na miili imezuiliwa, inakua vigumu sana kwa Wakenya wa kawaida kutoa miili The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view