All parliamentary appearances
Entries 211 to 220 of 1551.
-
2 Aug 2012 in National Assembly:
(b) ni kwa nini hakuna umeme katika eneo bunge la Bura mpaka sasa.
view
-
2 Aug 2012 in National Assembly:
Naibu Spika wa Muda, ninadhani Waziri Msaidizi alihadaiwa na maafisa wake wa mashinani kwa sababu hata kufikia leo asubuhi hakukuwa na umeme huko Bura. Ni kama Wizara ilikuwa ikijitayarisha kwa sababu ya Swali ambalo lilikuwa likija Bungeni mwezi wa sita; walifanya kazi ya kuweka umeme kwa siku tatu na wakaiacha baadaye. Mpaka leo, wananchi wa Bura hawaelewi hitilafu iko wapi.
view
-
2 Aug 2012 in National Assembly:
Bw. Naibu Spika wa Muda, mpaka leo, hakuna umeme Bura. Hii Bura ambayo Waziri Msaidizi anasema umeme umezinduliwa na hitilafu imerekebishwa ni Bura ipi kwa sababu si Bura yangu?
view
-
2 Aug 2012 in National Assembly:
Bwana Naibu Spika wa Muda, sijui niulize swali lipi la mwisho kwa sababu Waziri Msaidizi amesema hitilafu ilirekebishwa na umeme ukarudishwa Bura. Mimi kama Mbunge anayewakilisha eneo la Bura, hakuna anayejua mambo ya Bura kuliko mimi. Nina habari kwamba tarehe sita anayoitaja Waziri Msaidizi ni siku ambayo waliwachilia umeme kwa siku tatu na kuondoa baadaye. Kwa hivyo, miezi miwili baada ya tarehe sita hakujakuwa na umeme katika eneo la Bura.
view
-
2 Aug 2012 in National Assembly:
Jambo la Nidhamu, Bw. Naibu Spika wa Muda. Tulikuwa na swali kuhusu umeme huko Bura. Ningetaka kukujulisha---
view
-
2 Aug 2012 in National Assembly:
On a point of order, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir.
view
-
2 Aug 2012 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, I apologize.
view
-
2 Aug 2012 in National Assembly:
Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, I think my point of order has been overtaken by events because it was a contribution to the first point of order by Mr. Ethuro.
view
-
1 Aug 2012 in National Assembly:
alimuuliza Waziri wa Kawi:- (a) ni lini Halmashauri ya Usambazaji wa Umeme Mashinani ilizindua mradi wa umeme eneo bunge la Bura; na, (b) ni kwa nini hakuna umeme eneo bunge la Bura mpaka sasa.
view
-
1 Aug 2012 in National Assembly:
On a point of information, Mr. Deputy Speaker, Sir.
view