25 Feb 2021 in National Assembly:
Thank you, Hon. Deputy Speaker.
view
25 Feb 2021 in National Assembly:
Thank you, Hon. Deputy Speaker. I rise to ask Question No.058/2021 on my behalf and that of the people of Changamwe Constituency, to the Cabinet Secretary for Defence: i) Could the Cabinet Secretary state how many persons were recruited into the Kenya Defence Forces (KDF), how the recruitments slots were distributed among the 290 constituencies and the criteria used in distributing the slots in the just concluded KDF recruitment exercise in the country? ii) What special considerations will be given to areas or constituencies where no persons were recruited for not meeting the academic and other set qualifications? Hon. Deputy ...
view
25 Feb 2021 in National Assembly:
Hon. Deputy Speaker, I stand guided. I was asking as a matter of interest because perhaps we need to set aside money from the National Government-Constituencies Development Fund (NG-CDF) to bribe the officers to have our people recruited to the forces.
view
25 Feb 2021 in National Assembly:
(Changamwe, ODM)
view
10 Nov 2020 in National Assembly:
Asante sana Naibu Spika wa Muda. Nasimama pia kuunga mkono mapendekezo ambayo Mwenyekiti wa Kamati yetu ya Uchukuzi ameleta mbele ya Bunge hili kuhusu Ripoti ya matumizi ya Standard Gauge Railway (SGR) katika taifa letu la Kenya. Mapendekezo ambayo yamekuja mbele ya Bunge hili ni kutokana na hali ambayo ilitokea na mtafaruku uliopatikana baada ya Serikali kushurutisha kuwa makasha na mizigo yote yabebwe na SGR. Jambo moja ambalo tumejifunza katika mtafaruku huu ni kuwa Serikali na raia wake wakifanya kazi pamoja, matatizo makubwa yanaweza kusuluhishwa bila kuwa na vurugu. Pia, imetuonyesha kuwa ni vizuri kuwa na miradi mikubwa kama hii ...
view
10 Nov 2020 in National Assembly:
wakitaifa. Nilifurahishwa kuwa ingawaje ilikuja polepole, mwishowe tulipata usaidizi kwa sababu SGR ingeathiri sehemu kubwa sana ya nchi yetu. Si Pwani peke yake. Kando ya vile alivyoeleza Mwenyekiti wetu, tuliona kuwa katika usafirishaji wa haya makasha, badala ya kasha kuletwa mpaka Nairobi, ilikuwa kuna wale ambao wanachukua makasha hayo nakuyaregeza kwenye Port . Kwa sababu ya kuzuia msongamano kule Port, hao walikuwa na ahadi zao wakiwekeza. Baadaye, meli ikiwa tayari, wanayachukuwa na kuyaweka ndani ya meli na kuyapeleka ambako wanayapeleka. Hapo kulikuwa kuna nafasi nyingi za kazi zilizotokea kutokana na hali kama hii tunayozungumzia. Ilipokuwa ni lazima SGR ibebe mizigo ...
view
5 Nov 2020 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Spika kwa kunipa fursa hii. Kwanza, nasimama kupinga uteuzi huu kwa sababu zifuatazo: Kenya si taifa changa kwa sababu lina miaka 57. Ni mtazamo wa sisi sote ambao tuko katika nchi hii ya kuwa ni lazima tujue kuwa sisi ni Wakenya na usawa tunaozungumza kwenye mikutano yetu ya BBI uko dhahiri. Ukiangalia haya majina, ikiwa tuna makabila 43 katika nchi yetu ya Kenya na uone majina ya sehemu moja ni mengi ilhali sehemu nyingine hazipo kabisa, je, ni kwa nini tuunge mkono uteuzi huu? Sioni muislamu hata mmoja kwenye uteuzi huu ilhali tuna karibu asilimia 40 ya ...
view
5 Nov 2020 in National Assembly:
Asante, Mhe. Spika. Ningependa kusema kuwa ingawa wamechaguliwa na tajriba ingekuwa vyema ikiwa Wakenya wengine wangechaguliwa. Kwa hivyo, naipinga hii Ripoti. Ningependa kuwaomba Wabunge wenzangu ambao bado hawajapata nafasi ya kuzungumza kuipinga Ripoti hii.
view
15 Oct 2020 in National Assembly:
Nashukuru, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Jambo muhimu katika Mswada huu ni kwamba wakati mtu anapofikwa na maafa anahitaji msaada. Ikiwa atafikiwa kwa kuchelewa, itakuwa hakuna faida sana. Kwa hivyo, namshukuru sana ndugu yangu Mhe. Kimani Ichung’wah kwa sababu tuna matatizo mengi. Saa hii, kwangu kumechomeka nyumba nne na hakuna mtu anayeangaliwa isipokuwa Mhe. Mbunge. Kwa Hivyo, hili ni jambo muhimu sana. Pengine hata moto ambao hutokea mara kwa mara kule Kariako utaweza kuzuiwa kwa sababu hali hiyo itakuwa inaangaziwa. Utafiti utakua umefanywa kubainisha ni sababu gani mambo hayo hutokea. Vile vile, ningeomba…
view
12 Aug 2020 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. My concern is this is truly a good initiative. However, my fear is that after the six months or so, this Committee must have some arrangements to make sure this program is sustained or may be developed so that at least hope can be instilled in our youths for now and in future. Otherwise, if it just dies like that, then it would have had no impact at all.Those are my remarks. Thank you, Hon. Speaker.
view