Onesmas Kimani Ngunjiri

Parties & Coalitions

Telephone

0725371937

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 192.

  • 30 Mar 2022 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, the Bill is very important. I support it. It will help Kenyans. May God bless you. view
  • 1 Sep 2021 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker, for giving me this opportunity. Ningetaka kuangazia mambo mawili au matatu. Ya kwanza, nashukuru Mhe. Duale kwa kuleta jambo nyeti ambalo tunafaa kuangalia kwa urefu. Kwa sababu ya ujuzi wake, tunamheshimu. Ni mtu anajua mambo mengi. Ametuongoza kwa hili Bunge. Lakini ningekuwa na maoni ya kufikiria. Hii mambo ya BBI iko kortini na inaenda Korti ya Upeo. Tuwape nafasi kwa kisheria waendelee na mambo yao. Lakini sisi kama Bunge, kuna mambo matatu nyeti tunafaa kuangalia. Moja, kuna shida kubwa kwa sababu ya ugonjwa wa COVID-19. Hilo ni jambo muhimu ambalo tunafaa kulifikiria katika Bunge. Katiba mpya ... view
  • 1 Sep 2021 in National Assembly: Wabunge wenzangu, tufikirie sana mambo yaliyo mbele yetu. Hili jambo la BBI wacha liendelee kortini. Likimalizika, tutajadiliana. Ya umuhimu ni mambo mawili: Uamuzi wa Korti ya Upeo na uamuzi wako Mhe. Spika. Tupe mwelekeo tujue ni mambo yapi tunahitaji kuzingatia. Tuna mikakati ya mambo muhimu ya kusaidia nchi hii yetu. Watu wetu wako kwa shida. Iko njaa. Ng’ombe wanakufa. Hatuko tayari kwa chochote. Tunawaweka na mambo ambayo sio muhimu kwao. Mambo nyeti yaangaliwe. Nashukuru sana. view
  • 6 May 2021 in National Assembly: I vote yes. view
  • 6 May 2021 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 10 Feb 2020 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Spika. Nachukua nafasi hii ya kutoa rambirambi, kama Mjumbe wa Bahati, kwa niaba ya watu wa eneo Bunge la Bahati pamoja na familia yangu kusema pole kwa familia. Yangu ni machache. Kama kuna mtu anayemjua Rais mstaafu aliyetuacha ni mimi Mhe. Kimani Ngunjiri. Nilikuwa Mwenyekiti wake wa chama cha KANU kwa miaka kumi. Kwa hivyo, nilimjua kwa undani. Ninajua uzuri wake kwa sababu alikuwa mzee wa heshima na alijua kuwasaidia maskini na kuunganisha watu wote. Alikuwa na msimamo. Ikiwa mtakumbuka, yeye ndiye rais wa pekee aliyemaliza siasa na chama alichochaguliwa nacho bila kubadilisha na kujiunga na chama kingine. ... view
  • 27 Jun 2019 in National Assembly: Thank you Hon. Temporary Deputy Speaker. Ningependa kusema machache kwamba niko katika Kamati hii ambayo inashughulikia mambo ya ardhi. Tulichunguza vile Mwenyekiti amesema, na tulizunguka sana. Ni kweli hawa watu walikuwa ni waadhiriwa kama vile Mwenyekiti amesema. Hao watu walitoka upande wa Rift Valley ambapo kulikuwa na ghasia baada ya uchaguzi ambao kila mtu anajua katika mwaka wa 1992. Hawa ni watu ambao walikuwa na shida nyingi. Mambo mengine hayakufanywa walipopata pahali pa kukaa. Serikali ilichelewa kuwapa vibali vyote. Watu wachache walipata vibali. Vile Mwenyekiti amesema kuna… The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. ... view
  • 27 Jun 2019 in National Assembly: Hao watu walipelekwa pale na Shirika la Kuhifadhi Misitu mwaka wa 1992, na kupewa ruhusa ya kujenga mashule. Pia walionyeshwa mahali pa kuzika watu waliokufa. Idara ya Utawala pia ilikubali kuwa watu hao wasipopewa vyeti vya kumiliki mashamba kwa njia ya kisheria kutakuwa na shida. view
  • 27 Jun 2019 in National Assembly: Kwa hivyo, ninaunga mkono Ripoti hii. Ninaomba kuafiki. Asante sana. view
  • 19 Jun 2019 in National Assembly: Ninakushukuru Mhe. Naibu Spika kwa kunipatia nafasi hii ili niweze kuchangia hili jambo muhimu sana katika Kenya. Kwanza, ninaunga mkono mjadala huu kwa maana ni muhimu sana. Lakini ningependa kurudi nyuma kihistoria ili tuweze kuelewa hili jambo la ajali na sheria za barabara. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus