Onesmas Kimani Ngunjiri

Parties & Coalitions

Telephone

0725371937

All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 192.

  • 19 Jun 2019 in National Assembly: Ingawa ninaunga mkono, kuna mambo machache ninataka kutaja. Nilipata driving view
  • 19 Jun 2019 in National Assembly: yangu mwaka wa 1972. That is the time I got my driving license . Ingawa tunasema watoto wafundishwe sheria za barabara, kuna mambo nyeti ninataka kuyataja na ninajua Wabunge wezangu watayaunga mkono. Jambo moja ni kwamba hata kama Ministry ya Matiang’i imeleta jambo hili, ijue imefail . The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 19 Jun 2019 in National Assembly: Hii ni kwa sababu wakati nilipochukua driving licence, traffic officers wakikusimamisha kwa mkono, lazima ungesimama. Kabla wafike kwa gari, wangekwambia uwashe taa, upige dim, uweke signal na upige wiper . Akimaliza, angeenda nyuma ya gari na kusema ukanyage brakes ili angalie brake lights and parking lights . Tena angekwambia uweke hand brake na atingishe gari. Tunataka kutengeneza sheria mpya lakini zile ziko zikizingatiwa kwa njia nzuri zitareduce view
  • 19 Jun 2019 in National Assembly: katika nchi yetu. Hatujalitilia hili jambo maanani kwa sababu ukiangalia miaka ya 2007 na 2008 wakati wa crashes, watu zaidi ya elfu moja walikufa. Na dunia nzima ilisimama to condemn na kusema hayo mambo ni mabaya. Lakini watu zaidi ya elfu tatu wakifa kupitia road accidents, hatuwezi kusimama kama Serikali na kuuliza ni kwa sababu gani. Leo ukipata traffic officers barabarani na usimamishwe, kitu cha kwanza kuulizwa ni view
  • 19 Jun 2019 in National Assembly: . Kwa nini? Kwa sababu hiyo ndiyo wanawekewa pesa. Kama dereva anapeleka gari mpaka mahali traffic officer yuko, inamaanisha anajua kuendesha gari. Kitu cha kwanza anachopaswa kuangalia ni tyres na stands za gari. Pili aangalie kama hiyo gari iko na shida yoyote halafu aangalie insurance ndio aulize maswali mengine. Wabunge wenzangu, hata tukipitisha hii Hoja ambayo ninaiunga mkono, kama Matiang’i ambaye anasimamia polisi na traffic officers hatasimama imara ili sheria ambazo ziko ziweze kufuatwa, then inaonekana tutazungumza mambo mengi na watu wataendelea kutotii sheria. Kuna mambo nyeti ambayo yanaendelea siku hizi. Tunapitisha sheria lakini watu wa view
  • 19 Jun 2019 in National Assembly: wanapita right, left and any side or corner of the road and can go in any direction . Kama barabara ya mahali fulani ni moja, wanatumia wrong side . Hizi sheria zinastahili kufuatwa. Lakini kuhusu traffic rules, hatujasimama imara. Tunasikia kuna ufisadi na pesa ambazo zinapatianwa huko chini zinakuja zikitambaa mpaka juu na hii ni unyonge. Lazima tuseme view
  • 19 Jun 2019 in National Assembly: na tuchunge watu wetu. Tusiangalie vifo vya watu 3,000 kupitia ajali za barabara peke yake kwa sababu inaweza kuwa mzee au mama amewacha familia na watu wengine wanakuwa viwete. This is a big burden for this country . Ninaomba Wajumbe walitilie hili jambo maanani kabisa. Matiang’i anapaswa aje ili atuambie ni nini kinapaswa kufanywa katika barabara zetu ndio sheria zifuatwe. Tusipofanya hivyo, kuna effects za vifo vya watu 3,000 na tukiangalia vizuri ni kama tumepoteza watu 50,000. Hii ni kwa sababu wengine wanameza dawa ama wamevunjika miguu. Na mambo hayo yote yanatumia pesa nyingi za Serikali wakati tunatafuta pesa za ... view
  • 26 Feb 2019 in National Assembly: Asante sana, Mheshimiwa Naibu Spika wa Muda. Ninamuunga mkono Mbunge ambaye alikuwa mgeni wangu wa heshima. Si mara ya kwanza Mhe. Sankok amekwenda kwenye eneo Bunge langu na kufanya kazi nzuri. Alikuwa mgeni wangu wa heshima nilipokuwa nikizindua kitabu kuhusu muhula wangu wa pili. Kama alivyosema, ni kweli kwamba hazina ya NG-CDF inaweza kufanya kazi vizuri sana iwapo itakua na mikakati ambayo inatakikana. Ninamshukuru kwa kuitikia mwito wa kuwa mgeni wangu wa heshima. Alikuja wakati mlemavu mmoja ambaye alikuwa mwalimu alikuwa amekatazwa kushikilia kuwa mkubwa wa shule kwa sababu yeye ni kiwete na akamtetea. Kwa hiyvo, namshukuru. Yeye ni rafiki ... view
  • 26 Feb 2019 in National Assembly: Kuna mambo nyeti yanapaswa kuangaliwa tukizungumzia mambo ya NG-CDF. Tunapaswa kuangalia shinda nyingi zinatoka wapi. Serikali kuu lazima ielewe kitu kimoja: Waziri anasema ni lazima kila mtoto aende shule. Ni kweli na ni haki kwa kila mtoto kuenda The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 26 Feb 2019 in National Assembly: shule, lakini wakisema hivyo wajiulize huyu mtoto ataenda darasa gani, ataketi kwa kiti gani na ni walimu wagani watamsomesha. Haya ndiyo mambo nyeti wanahitaji kuangalia. Lakini sikusema tu ni lazima watoto wote wawe darasani. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus