Onesmas Kimani Ngunjiri

Parties & Coalitions

Telephone

0725371937

All parliamentary appearances

Entries 31 to 40 of 192.

  • 26 Feb 2019 in National Assembly: Kazi ya Wabunge ni mambo mawili: Kuangalia usalama na elimu. Mambo haya yasiwe yakusukumia Wabunge ili waonekane hawafanyi kazi. Kwanza, tukirudi kwa hospitali, ni lazima tuchunge mambo ya Serikali kuu. Serikali kuu imesema kuwa maternity, nursery, primary na elimu ya secondary itakuwa ya bure na ukiingia university unapewa pesa. Sasa kazi ya mzazi itakuwa ni nini? Board ya shule haiwezi kusema kuwa hata choo ikianguka na NG-CDF haina pesa, haiwezi kuwaambia wazazi wachange pesa kwa sababu wameambiwa elimu ni ya bure. Kwani mtoto ni wa Serikali? Mzazi pia ana jukumu la kuangalia mambo nyeti katika shule ili asaidie. Lakini tumeweka ... view
  • 26 Feb 2019 in National Assembly: Kwa hivyo, ningetaka kuomba Serikali yetu ichunguze na Waziri akisema jambo fulani litakuwa la bure, inatupasa kuangalia jambo hilo ili wasije wakawawekelea Wabunge mzigo ambao hawawezi. Katika maeneo mengine, watoto wanasimama darasani kwa sababu hawana viti. Hawana mahali pa kuketi na hata mawe hayapatikani bure. Yananunuliwa na hiyo pesa ya kununua hakuna. Haya ni mambo nyeti ambayo yanapaswa kuangaliwa. view
  • 26 Feb 2019 in National Assembly: Kuma mambo ambayo tunahitaji kuangalia na kuiambia Serikali kuu ili wakisema kitu, wawahusishe Wabunge. Wabunge wako na mzigo mkubwa sana. Ni muhimu kwa kila mtoto kuenda shule lakini ukiangalia mikakati ambayo imewekwa, hairuhusu kila mtoto kuwa shuleni. Hakuna madarasa, mijengo na barabara za kuingia shuleni. Kwa hivyo, kuna mambo nyeti mengi. Pia, naunga mkono mazungumzo haya ya NG-CDF kwa sababu inasaidia sana. Nakubaliana na ndugu yangu, Mhe. Sankok. Katika eneo Bunge langu, ninajenga madarasa kama vile alivyosema, nikitumia Kshs800,000. Haya madarasa yako na tiles, key, ceiling na kila kitu. Nitaongeza iwe Kshs1 milioni ili nikipatiana darasa liwe na kila kitu. ... view
  • 26 Feb 2019 in National Assembly: kama Wabunge ili tuone kazi ambayo hizo pesa zinafanya. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 26 Feb 2019 in National Assembly: Lakini pesa inatumiwa huko juu, inakuliwa na kuibiwa na MCAs wanabebeshwa mzigo kwa sababu hawana kitu cha kuonyesha kazi ambayo wamefanya. Nimesikia kutoka kwa Wabunge wengi kuwa mwelekeo na maoni yao ni kurekebisha mambo yanayosumbua. Wabunge wanafaa kuongea ukweli. Unajua hii mambo ya handshake tulifikiria watawatetea wananchi kwa sababu wako minority . I am happy, I can see what the party and the Opposition are doing. Theyare still playing their role kusaidia kupigania haki. Ningetaka kusema kuwa nchi hii kama haina minority ni majority pekee, pesa za umma zitaibiwa na kila kitu kitakwisha. Ninafurahi kwa kazi ambayo wanafanya kutetea mambo ... view
  • 6 Jun 2018 in National Assembly: Thank you very much, Hon. Temporary Deputy Speaker. I have listened to Hon. Members making contribution and they have said that the budget for NYS should be cut. There are many other State agencies which have been accused of being corrupt and their cases of corrupt dealings are ongoing in court. As we speak, there is the maize scandal at the NCPB. We had a scandal at Kenya Pipeline Company (KPC) during the last few days. There was a case at NHIF recently. Before we went for recess, there was an issue at Kenyatta National Hospital (KNH), but it was ... view
  • 6 Jun 2018 in National Assembly: to cut that funding for them. The solution to end corruption is not to deny these agencies funding. There are 15,000 young men and women who are training in various skills in various training colleges that exist within NYS. If we say that we are going to pay salaries only, what will happen to those people? The NYS is a brilliant programme and we should not allow it to be killed by a few people who use it for their own benefits. view
  • 6 Jun 2018 in National Assembly: I have looked at various allocations. I am impressed because we are allocating Kshs850million to arts under Vote 0903000. In as much as we are allocating this money to art, who is running it? I was very embarrassed the other day. Before I say that, I have looked at Budget allocation that goes to the youths and a lot of money will be allocated to them. However, when it comes to the actual beneficiaries of these funds, none of them goes to the youths. I looked at a conference which was held recently at State House and a photo that ... view
  • 6 Jun 2018 in National Assembly: I have looked at the allocation of Government buildings which is Ksh2.032 billion under Vote 103000. You find a project that was started in 2014 was not allocated more money and as such it stalled. In the long run, that building ends up being more expensive because already some of the structures are coming down. So, in as much as we are the budget- making House, we are also the House that oversees. We should make sure that we oversee this capital expenditure. view
  • 6 Jun 2018 in National Assembly: I want to talk about the disbursement of these funds. There has been rain across the country. We have allocated Kshs180 billion for roads this year. However, by the time this money hits the account and the roads are fixed so that they can be accessible to our farmers and people it will be too late. The rain did not just start. We predicted that it would start at a particular time but when we went to the regional KeRRA offices, we were told that money had not yet hit the account. So, as a result, our roads end up ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus