7 Nov 2019 in National Assembly:
Thank you, Hon. Speaker. I rise to request for a Statement on disbursement of funds from the Equalisation Fund.
view
7 Nov 2019 in National Assembly:
Hon. Speaker, pursuant to Standing Order 44(2) (c), I wish to request for a Statement from the Chairperson of the Budget and Appropriations Committee, regarding disbursement of money from the Equalisation Fund. Hon. Speaker, Article 204(1) of the Constitution, 2010 establishes an Equalisation Fund into which shall be paid one half per cent of all the revenue collected by the national government each year, calculated on the basis of the most recent audited accounts of revenue received, as approved by this House. Hon. Speaker, it is worrying to note that for the last three consecutive financial years that is, 2016/2017, ...
view
7 Nov 2019 in National Assembly:
Hon. Speaker, it is against this background that I seek a Statement from the Chairperson of the Budget and Appropriations Committee on: (i) What is the status of disbursement of funds for implementation of projects, as contemplated in Article 204(2) of the Constitution? (ii) When are the funds expected to be disbursed? Thank you, Hon. Speaker.
view
2 Oct 2019 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda.
view
2 Oct 2019 in National Assembly:
Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Kwa niaba ya wakazi wa Kaloleni, ningependa kutoa rambirambi zangu kwa jamii ya mama Mariam na mtoto wake Amanda. Ni jambo la aibu sana katika nchi hii kuona kwamba mtoto na mamake wanapoteza maisha kwa uzembe wa watu ambao walitwekwa jukumu la kutoa huduma katika nchi hii. Inaonekana Wakenya hatuko tayari kuona kwamba kukitokea janga tunaweza kusaidia wananchi wetu. Kuna vijana ambao wanauzoevu wa kupiga mbizi katika eneo la Likoni. Lakini ni jambo la kushangaza kwamba hawajapatiwa nafasi ya ajira katika Shirika hili la Kenya Ferry. Tumekuwa tukiajiri watu kwa sababu ya makaratasi ...
view
6 Aug 2019 in National Assembly:
Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia fursa hii. Nimesimama kuunga mkono Mswada huu. Hakuna nchi ambayo inaweza kuendelea kiuchumi, kisiasa na kijamii kama watu wake wana njaa. Ni jambo la kusikitisha kwamba baada ya zaidi ya miaka 50 ya Uhuru, watu wetu bado wanategemea chakula cha msaada. Ukame unaathiri watu wengi kwa sababu Serikali haijakuwa na mipango maalum ya kupambana na ukame ili usiwaumize watu wetu. Hii ni kwa sababu hatujatumia viwango ambavyo tunapatiwa na wizara inayohusika na mambo ya hali ya hewa. Wakati kuna baridi, watu hujipanga kununua nguo ambazo zinakinga baridi na wakati wa joto, watu ...

Ninaunga mkono Mswada huu lakini ni lazima kuwe na mipango maalum. Pesa ambazo zitawekwa katika hazina hii zitumike ili tujipange. Tusingoje mpaka watu waumie ama wakufe kwa sababu ya njaa ndio tuanze kutafuta pesa na misaada kutoka nchi za nje. Inatakikana tujipange mapema ili tuweze kuokoa watu wetu. Wakati mwingi watu wanakufa kwa sababu ya njaa halafu Serikali inakataa. Hii ni hali ambayo ipo. Serikali inatakikana ijitokeze, ishirikishe watu wote ambao wanahusika, haswa viongozi kutoka kule chini mashinani, ili tuweze kujua ni njia gani tunaweza kuweka mipango maalum ili tusaidie watu wetu.

Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii.
view