Paul Kahindi Katana

Parties & Coalitions

All parliamentary appearances

Entries 21 to 32 of 32.

  • 6 Aug 2019 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. view
  • 30 Apr 2019 in National Assembly: Hon. Speaker, I rise to ask Question No.210/2019 directed to the Cabinet Secretary for Agriculture, Livestock, Fisheries and Irrigation. (i) Is the Cabinet Secretary aware that the Agriculture and Food Authority is yet to formulate regulations and other policy measures for the development of scheduled crops, in particular coconut, to facilitate marketing and distribution of the same through monitoring and dissemination of market information as specified by Section 8 and the First Schedule of the Crops Act, No.10 of 2013? (ii) What measures has the Ministry put in place to enhance value-addition to coconut with the aim of promoting its ... view
  • 30 Apr 2019 in National Assembly: Thank you. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Asante, Naibu Spika. Nasimama kuunga mkono Hoja hii ambayo imeletwa kwa wakati mzuri. view
  • 20 Feb 2019 in National Assembly: Utafahamu kwamba punde tu mtu anapofariki katika hospitali za rufaa, mwili huzuiliwa kwa sababu ya malimbikizi ya ada za matibabu. Tunaomba pia Serikali ifutilie mbali ada zinazotozwa wakati mwili unahifadhiwa. Jamii nyingi haziwezi kulipa ada hizo za hospitali. Imekuwa ni vigumu sana kwa baadhi yetu Wabunge kwa sababu mwananchi anapopata tatizo kama hili, mtu wa kwanza anayemkimbilia ni Mbunge. Huwa hatuna pesa Serikali inatupatia ili tuweze kusaidia watu wetu. Kwa hivyo, naunga mkono Hoja hii ili Serikali ifutilie mbali ada za matibabu na ada ambazo zinatozwa wakati mtu amefariki. Pia, naongeza kuwa wakati mtu ametibiwa na ameshindwa kulipa ada, Serikali ... view
  • 15 Aug 2018 in National Assembly: Asante, Mhe Naibu Spika wa Muda. Nasimama kuchangia Hoja hii. Mti wa mnazi ni muhimu sana katika jimbo la Pwani na Kenya nzima. Lakini, kwa muda mrefu, mti huu haujatiliwa maanani na Serikali. Mti huu ukitumika vizuri, unaweza kuinua maisha ya wapwani, Kenya nzima na Serikali inaweza kupata ushuru mwingi. Watu wa Pwani na haswa kule nitokako Kaloleni na kijiji ambako ninatoka kinaitwa Makomboani, wameathirika sana na ukame ambao ulikua mwaka wa 2016/2017. Ukame huu umechangia umasikini katika maeneo yetu. Mti huu unatumika kwa uchumi wa watu wa Pwani. Baada ya ukame mmea huu ulipotea. La kushangaza ni kwamba hakuna ... view
  • 15 Aug 2018 in National Assembly: Pia, kama ulivyoambiwa, utamaduni wetu kama watu wa mijikenda, tumetumia sana mti wa mnazi. Huwezi oa ama kutoa mahari kabla pombe ya mnazi kutumika. Pia, tunaona kuwa Serikali imetumia mabilioni ya pesa kuagiza mafuta ya nazi kutoka nje, ilhali, tunayo miti ya kutosha ya kutoa mafuta ya nazi. Serikali inatakikana ichukue jukumu la kufidia hawa wakulima ambao wamepoteza minazi mingi kwa sababu ya kiangazi ili waweze kusaidika kupeleka watoto wao shuleni na wajikimu kimaisha. Kwa hivyo, tunaomba Bunge hili lipitishe Hoja hii na lihakikishe kwamba Serikali inatengeneza ama inaegemea upande wa viwanda ili wananchi na wakazi wa Kilifi na Pwani ... view
  • 15 Aug 2018 in National Assembly: Asante, naunga mkono. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 4 Jul 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Speaker. Pursuant to Standing Order No.42(2)(c), I wish to request for a Statement from the Chairperson, Departmental Committee on Administration and National Security regarding the shooting of Master Katana Kazungu Fondo, a pupil at Ndatani Primary School, Kaloleni Constituency in Kilifi County by police officers from Mariakani Police Station. view
  • 4 Jul 2018 in National Assembly: Hon. Speaker, on the evening of 25th June 2018, Master Katana Kazungu Fondo, a Standard VII pupil in the said school was shot dead by police officers from Mariakani Police Station. The body of the said Master Fondo was later taken to the Coast General Mortuary, Mombasa County, as unidentified body. Later, the police officers claimed that the body was of a wanted criminal. In the statement, the Chairperson should inquire into and report on: 1. The circumstances under which Master Katana Kazungu was shot dead by police officers. 2. Whether investigations into the killing have been carried out and ... view
  • 28 Feb 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I rise to support this Motion, but before I do that, let me make my maiden speech. First, I want to thank the people of Kaloleni for having elected me to represent them in this House. I assure them that I will give them services as I pledged during my campaigns. I have already done this because last week I distributed bursaries worth KShs19 million to over 3,000 students who are now going back to school. Let me give you a brief history of Kaloleni Constituency. It is one of the marginalised constituencies. We ... view
  • 28 Feb 2018 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, I want to support the appointment of Dr. Julius Muia and Nelson Marwa as PS, State Department for Devolution and Planning. Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus