All parliamentary appearances

Entries 1841 to 1850 of 1873.

  • 24 Sep 2013 in Senate: THAT, aware that Schedule Four to the Constitution assigns the responsibility of construction and operation of national trunk roads to the national Government and that county transport including county roads are the responsibility of the County Governments; acknowledging that the Kenya Rural Roads Authority (KeRRA) is mandated, under the Kenya Roads Act, 2007, to administer funds for the development, rehabilitation and maintenance of roads in constituencies which are roads within counties and which fall under Class D category and below; cognizant of the fact that there are already established KeRRA structures in each of Kenya’s 47 counties; the Senate urges ... view
  • 24 Sep 2013 in Senate: Asante sana, Bi. Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii niweze kuungana na Wakenya na hasa Maseneta wenzangu katika kuchangia Hoja hii. Kwanza, natoa rambirambi zangu, za jamii yangu na watu wa Kaunti ya Kajiado kwa wale wote ambao walipoteza maisha zao. Pia nawakumbuka wapendwa wao na wale ambao wako hospitalini hadi sasa. Nasema pole sana na Mungu awe nanyi. Ombi letu ni kwamba hili taifa litasimama imara. view
  • 24 Sep 2013 in Senate: Bi. Spika wa Muda, jambo hili liliweza kutupatia mawazo mengi. Ukijaribu kufikiria ni nini hawa magaidi walitaka ifanyike, kwanza, walijaribu sana kuweka uoga katika uongozi wa taifa hili na hata baina ya sisi hapa katika Seneti. Pia pengine walitaka wananchi wawe na uoga ili wasiweze kutembea bila wasiwasi. Pia walitaka kugawanya watu kulingana na dini. Lakini Mungu ametusaidia kusimama pamoja kama Wakenya. Natoa hongera kwa Wakenya kwa kusimama imara baada ya jambo hilo kutokea. view
  • 24 Sep 2013 in Senate: Bi. Spika wa Muda, siasa ambayo tumezoea kama ile ya Referendum na maneno mengine huwa inatugawanisha, lakini jambo kama hili haliwezi kuigawanya jamii ya Kenya. Hebu na tuzidi kushikana na kuwa kitu kimoja. Bi. Spika wa Muda, mimi ninaweza kusema kwamba ufisadi umesababisha haya mambo. Idara ya uhamiaji inawaruhusu watu kuingia katika nchi ya Kenya kwa uraisi sana. Mimi ningeomba tukiwa viongozi tutafanye lolote liwezekanalo kuwasaka watu wote ambao wameingia hapa nchini kwa njia isiyo ya halali. Kila mwananchi aweze kumtambua jirani yake ambaye si Mkenya ama aliye na tabia mbaya. Sisi tumewakubalia watu wengi kuingia hapa nchi bila vibali ... view
  • 24 Sep 2013 in Senate: Bi. Spika wa Muda, baada ya jeshi letu kwenda Somalia, ni lazima walinda usalama wangejua kwamba kuna vile wale watu wanavyopanga. Na tangu wakati huo, ingefaa, sisi sote tuelezewe kazi ya kila idara ili tuhakikishe kwamba wale magaidi hawataweza kuingia ama kuja kutusumbua kwa njia yoyote. Lakini kusema tu kwamba jeshi letu limefanya kazi nzuri bila kuelezwa ni mikakati gani imewekwa, ninafikiri ni lazima Serikali ihakikishe ya kwamba Wanakenya hawatakuwa na uoga pahali popote. view
  • 24 Sep 2013 in Senate: Kwa hayo machache, ninaunga mkono. view
  • 24 Jul 2013 in Senate: Thank you Mr. Temporary Speaker, Sir. I rise to support this Motion. This is a very good Motion which tells us that some people have relaxed on their job. I believe that when Masinga and other dams were constructed along the Tana River, this was done in good faith. This was an intention not only to get power but also to control floods. I agree with the Mover of the Motion that the institution that is in charge of the dams that are along that river and particularly KenGen should be held responsible and asked to take care of all ... view
  • 18 Jul 2013 in Senate: Thank you, Madam Temporary Speaker. From the outset, I want my concerns to be very clear. For sure, our counties are looking upon us as Senators. The amendment we made to the previous Bill where we raised the minimum amount to be given to counties to Kshs258 billion is not the one we are discussing here. However, we want to be obedient to the law because this was signed into law. We will, however, support it with amendments. My concern is very clear. The people of Kajiado are waiting to see whether the Jubilee Government will deliver what it promised ... view
  • 10 Jul 2013 in Senate: Mr. Deputy Speaker, Sir, from the outset I support this Motion and congratulate Prof. Lonyangapuo for bringing it. Mr. Deputy Speaker, Sir, in this country we have been talking about our economy not doing well. We have always talked of not moving into the single digit simply because we really neglected an industry which should have turned this economy into a double- digit and maybe the best in Africa. Speaking from the pastoralists’ point of view, the Governments of the former Presidents may have just left the pastoralists on their own. Even if policies were there, they were not followed. ... view
  • 3 Jul 2013 in Senate: Mr. Speaker, Sir, since the Senate Majority Leader is not in the House and I cannot see the Deputy--- As I was entering the Chamber, I saw a call from him, which I could not receive. I believe he wanted to delegate. With that strength, I now wish to proceed and move the Motion. APPROVAL OF SENATE CALENDAR FOR THE FIRST SESSION view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus