Rashid Shakombo

Parties & Coalitions

  • Not a member of any parties or coalitions

Full name

Rashid Suleiman Shakombo

Born

10th February 1940

Post

85660 Nairobi, Kenya

Telephone

0733637000

All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 68.

  • 29 Nov 2006 in National Assembly: Mr. Deputy Speaker, Sir, I want to be very honest with you. I know the whereabouts of the Minister, but not of the two Assistant Ministers. However, I can assure this House that I will do everything possible, so that tomorrow the Question will be answered. I would like to beg your indulgence. view
  • 29 Nov 2006 in National Assembly: Ninakushukuru, Bw. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipa nafasi ili niunge mkono Hoja hii, ambayo inaliomba Bunge ruhusa ya kuwasilishwa kwa Mswada utakaowezesha kuanzishwa kwa halmashauri ya bandari huru huko Mombasa. Bw. Naibu Spika wa Muda, kusema kweli, mpango huu umechelewa sana. Ungekuwa umetekelezwa zaidi ya miaka kumi iliyopita kwa sababu wataalam wa maswala hayo waliwahi kufanya uchunguzi na kuwasilisha ripoti na mapendekezo yao kwa Serikali. Lakini ripoti hizo November 29, 2006 PARLIAMENTARY DEBATES 4011 ziliwekwa ofisini, na hakuna cho chote kinachofanyika. Ninadhani tutakubaliana sote, kama Wakenya, kwamba Mombasa ni mahali penye hali nzuri ya anga, na haswa pale bandarini. ... view
  • 1 Nov 2006 in National Assembly: On a point of order, Mr. Deputy Speaker, Sir. On Thursday, last week, hon. Prof. Anyang'-Nyong'o requested that I produce before the House a Report on investigations which were done by my Ministry. I am now pleased to inform the House that I have the Report with me and I wish to lay it on the Table of the House. view
  • 1 Nov 2006 in National Assembly: 3290 PARLIAMENTARY DEBATES November 1, 2006 LIST OF AGRICULTURAL TECHNICAL OFFICERS IN THE COUNTRY view
  • 18 Jul 2006 in National Assembly: Ningependa kukushukuru Bw. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Ninasimama kuiunga mkono Hoja hii juu ya Wizara ya Barabara na Ujezi. Tangu mhe. Nyachae aanze kuiongoza Wizara hii, tumeona shughuli nyingi za kukarabati barabara. Juzi nilikuwa huko Machakos ambako niliona barabara ambayo bado inatengenezwa. Barabara hiyo inatoka Machakos kuelekea Kitui. Vile vile nilizuru Bonde la Ufa hata nikafika kwa rafiki yangu mhe. Kipchumba, ambako niliona barabara nyingine ikitengenezwa. view
  • 18 Jul 2006 in National Assembly: Kuelekea huko kwenu. view
  • 18 Jul 2006 in National Assembly: Bw. Naibu Spika wa Muda, mimi nilikuwa Mkuu wa Wilaya katika wilaya anayotoka mhe. Kipchumba. I will refer tothe road later on. Jambo ambalo ningependa kumkumbusha Waziri na maofisa wake ni kwamba katika Mkoa wa Pwani biashara ya utalii ni takriban asilimia 60 ya biashara zote zinazofanywa huko. Watalii hutalii eneo la pwani sana ijapokuwa zile barabara muhimu ambazo wanatumia hawa watalii zimesahauliwa. Hazikutajwa kabisa katika bajeti ya Wizara hii. Barabara muhimu iliyotajwa peke yake ni ile inayotoka Maji ya Chumvi kuelekea Miritini. Kule Mombasa, kuna barabara inayotoka Likoni Ferry kuelekea Kombani. Utashangaa sana kusikia kwamba kukinyesha mvua kidogo tu, ... view
  • 13 Jul 2006 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, I would like to thank my colleagues for the support they have given to this Sessional Paper. The support was not only to the Sessional Paper but also to me as well as the Minister in charge. I want to take this opportunity to assure the House that the contributions made by Members were far-reaching and far-enriching and we will endeavour to ensure that they are included into the Act that we are intending to amend. Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, I also want to take this opportunity to assure the NGOs fraternity that it ... view
  • 6 Jul 2006 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Chairman, Sir, I beg to move:- THAT, Clause 2 of the Bill be amended- (a) in paragraphs (b), (c) and (d) by deleting the word "universal" wherever it occurs; (b) by inserting the following new definition in proper alphabetical sequence- "museum" means a public or private institution which collects, preserves, analyses and exhibits objects of cultural and natural heritage. view
  • 6 Jul 2006 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Chairman, Sir, I beg to move:- THAT, Clause 5 of the Bill be amended- (a) by deleting paragraph (m) and substituting therefor the following new paragraph- (m) in consultation with the National Council for Science and Technology, maintain existing research institutions and establish new ones. (b) by deleting paragraph (n) and substituting therefor the following new paragraph- (n) subject to the provisions of the Environmental Management and Co-ordination Act, conduct environmental impact assessments. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus