Richard Onyonka

Parties & Coalitions

Full name

Richard Momoima Onyonka

Born

1962

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

ronyonka@gmail.com

Email

KitutuChache@parliament.go.ke

Telephone

0722460333

Telephone

0733441503

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 818.

  • 6 May 2021 in National Assembly: On behalf of myself and the great people of Kitutu Chache South Constituency, I would like to vote yes. view
  • 11 Mar 2021 in National Assembly: Ndugu Spika, ni Eneo Wakilishi la Kitutu Chache Kusini. view
  • 11 Mar 2021 in National Assembly: Ningependa kusema hivi: Niko kwa Kamati ya Bajeti na Uidhinishaji wa Matumizi. Tulimuita Waziri Yatani tukamuelezea hivi. Mheshimiwa Wamunyinyi ambaye ndiye Mwenyekiti…. view
  • 11 Mar 2021 in National Assembly: Ilikuwa imeanguka. view
  • 11 Mar 2021 in National Assembly: Asante ndugu Spika. Utaniwia radhi. Ningependa kusema kuwa, kama Mwanachama ambaye yuko katika Kamati ya Bunge ya Bajeti na Uidhinishaji wa Matumizi, tulimuambia Waziri Yatani kuwa sisi tulisikia mawaidha ya Makamu Mwenyekiti, Mhe. Wamunyinyi, aliyemwambia kuwa Wabunge wamesema hawataki kuzungumzia suala la ugavi wa pesa katika nchi hii kama suala la NG-CDF halijazungumziwa. Jambo la pili ni kuwa yale tuliyazungumzia ni kuwa hata mawaidha ya wale Wenyeviti wa Kamati ambao walikuwa wameleta Mswada kujadiliwa na kuzungumzia vile pesa za Serikali zinagawanywa hayakusikizwa. Jambo la tatu ni kuwa Mwenyekiti wetu wa Bajeti na Uidhinishaji wa Matumizi, Kanini Kega, alimuambia Waziri “usipoenda ... view
  • 11 Mar 2021 in National Assembly: Asante. view
  • 9 Mar 2021 in National Assembly: Hon. Speaker, I would like to introduce you to the Member of Parliament-elect for Kabuchai Constituency. His name is Simiyu Majimbo Kalasinga Joseph Wekesa. Thank you, Hon. Speaker. view
  • 4 Dec 2019 in National Assembly: On a point of order, Hon. Temporary Deputy Chairman. view
  • 4 Dec 2019 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Chairman, I would like to say this so that the Leader of the Majority Party can understand why those projects have been given out as they have. We never went to our constituencies. The Leader of the Majority Party is misinforming this House. After Hon. Chris Wamalwa asked us and we held public hearings at Kitale Polytechnic, money was allocated to it. After that, we went to Kakamega where money was allocated to Kakamega Hospital. After that, we went to West Pokot. None of our constituencies got money. When we go for public hearings, it is the ... view
  • 9 May 2019 in National Assembly: Asante, Bwana Naibu Spika kwa kunipa nafasi hii nizungumzie jambo hili la muhimu sana katika nchi yetu ya Kenya. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus