Richard Onyonka

Parties & Coalitions

Full name

Richard Momoima Onyonka

Born

1962

Post

Parliament Buildings
Parliament Rd.
P.O Box 41842 – 00100
Nairobi, Kenya

Email

ronyonka@gmail.com

Email

KitutuChache@parliament.go.ke

Telephone

0722460333

Telephone

0733441503

All parliamentary appearances

Entries 21 to 30 of 818.

  • 9 May 2019 in National Assembly: Pesa za NG-CDF zimeleta maendeleo Kenya. Kwa wale ndugu zangu wako hapa Wabunge, mimi nimechaguliwa kutoka eneo wakilishi la Kitutu Chache Kusini kwa sababu kazi ambayo hela zetu za NG-CDF zinafanya zinawaridhisha wananchi kunipigia kura mara tatu mfululizo. Nitawapa heshima sana wazee walioanzisha kazi hii kama Mzee Jimmy Angwenyi na wale Wabunge wengine ambao walishika doria na kuuliza Rais Kibaki kuhakikisha kuwa hizi hela ambazo zimeenda mashinani zilianza kufanya hivyo miaka kumi liyopita. Hela hizo zimefanya kazi. Vile ndugu yangu, Mheshimiwa Mbadi amesema, ingekuwa vizuri kwanza kama tungeongezewa hela hizi za NG-CDF. Asilimia 2.5 haitoshi. Kazi ambayo inafanyika wakati huu ... view
  • 6 Mar 2019 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Ningependa, ikiwezekana, unipe fursa kuzungumza kidogo kuhusu mambo ambayo yametushinda katika nchi yetu. Nimesikia ndugu zangu hapa Bungeni wakizungumza kuwa wale wafanyikazi ambao wamefanya mgomo wafutwe kazi. Nimesikia ndugu zangu wakisema kuwa hata kama uongozi wa uwanja wetu wa ndege ni mbaya, wafanyikazi wasiulize maswali. Nimesikia ndugu zangu wakizungumza kiholela kwa hili Bunge ambalo wengine wetu tumekuwa kwa miaka mingi sana. Mambo yanayozungumziwa hapa leo ni mambo ambayo yanahusu nchi yetu ya Kenya. Lazima tuanze kuangalia masuala nyeti katika Bunge hili. Wananchi wameanza kutuona vibaya. Bunge hili limekuwa la kuongea ovyo ovyo. Masuala ... view
  • 6 Mar 2019 in National Assembly: ama ni wakenya ambao wana mambo yanayowakera? Na lazima Rais Uhuru Muigai Kenyatta aulize ni nini kinachowafanya hao watu wawe na maswala waliyo nayo wakati huu. view
  • 6 Mar 2019 in National Assembly: Jambo la mwisho, Shirika la Ndege la KQ si la Kenya. Kenya Airports Authority ni shirika la Kenya. Lazima kama Bunge hili tuhakikishe tumechunga rasilimali ya wananchi wa Kenya. Mkiuza KAA, wananchi wa Kenya hawatawasamehe. view
  • 4 Dec 2018 in National Assembly: Asante sana, Mhe. Spika. Ni heshima kusikiza Mzee Angwenyi akizungumza katika Bunge hili kwa sababu ni mzee tunayemheshimu sana. Mimi binafsi, ni mzee ambaye nimemjua na nimefanya kazi naye. Ningependa kusema kuwa ametupatia busara na masuala ambayo ameyazungumzia ni ya kiheshima. Jambo la kwanza ningependa kusema ni kwamba waandishi wa magazeti nchini Kenya wamechukua liwe jukumu lao kila wakati kuzungumzia mambo ya Bunge hili lakini wakiandika habari kuhusu Bunge hili zinakuwa za kupotosha kila wakati. Nafurahi kwa sababu ndugu zangu ambao wamezungumza wamesema kuwa tungependa waandishi wa magazeti wakiandika kama ni hela ambazo tunapewa kununua nyumba waseme kuwa nyumba hiyo ... view
  • 4 Dec 2018 in National Assembly: Bungeni na tungependa kutimiza kazi kuhakikisha kuwa tumefanyia Wakenya kazi nzuri. Inatuhitaji tubadilishe sheria ili Bunge letu liwe na nguvu ya kufanya kazi. Kwa hayo machache, nasema asante sana. view
  • 8 Nov 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. I support my colleague who has just tabled this Petition. At some point, the Departmental Committee on Agriculture and Livestock will have to engage this House. The tea sector is in a mess. The problem is that even when our farmers are paid the bonus, the bonus paid out in some areas in Kenya is Kshs5 to Kshs8 more than in our areas. Kisii is a tea-growing area. Tea is the only cash crop left for our farmers. It is a very serious problem. I ask the Departmental Committee on Agriculture and Livestock that when ... view
  • 8 Nov 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Deputy Speaker. The ball is in the court of the Departmental Committee on Agriculture and Livestock. Let us interrogate this matter as Members of this House and come up with solutions for the problems affecting the tea sector. view
  • 25 Oct 2018 in National Assembly: I am a bit confused. I remember yesterday there was a discussion that there were parts of the Food, Drugs and Chemical Substances Act which the Hon. Speaker... view
  • 25 Oct 2018 in National Assembly: That is why I said I am not sure. I am confused. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus