Rose Museo Mumo

Parties & Coalitions

Link

Facebook

Web

0721205028

All parliamentary appearances

Entries 11 to 20 of 29.

  • 18 Apr 2018 in National Assembly: I thank Members for their positive and very healthy contributions. I believe the Government will look into this Motion and set up centres for Kenyans to access counselling services. I note Hon. Wamunyinyi’s concern that there was an Act for the same. My argument is that the Act that Hon. Wamunyinyi referred to talks about the professionals. It legalises their services. Hon. Njoki Ndung’u also brought a Bill like this one. It was on gender-based violence. Hon. Njoki Ndung’u’s Act was dealing with the perpetrators of violence. Mine is about prevention of violence, and why we should not get into ... view
  • 18 Apr 2018 in National Assembly: As I reply, I beseech the Government to look into this issue and help us establish centres in every county so that every Kenyan can access this very important service. With those remarks, I beg to reply. view
  • 20 Mar 2018 in National Assembly: Hon. Speaker, I beg to give notice of the following Motion: THAT, aware that there are over 200 classified types of mental disorders, the most common ones being clinical depression, posttraumatic stress disorder, The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 20 Mar 2018 in National Assembly: bipolar disorder, anxiety disorder, schizophrenia, and tension deficit hyperactivity disorder; concerned that Kenyan’s mental health policy estimates that about 25 per cent of outpatients and about 40 per cent of in-patients suffer from mental health conditions, with the most frequent diagnosis of mental illness made in general hospital setting being depression, substance abuse, stress and anxiety disorders; deeply concerned that the current worrying trend of increased domestic violence among Kenyan families has resulted in suicides, deaths, injuries, psychological trauma, orphaned and unstable children; noting that the prevalence of mental disorders may also be attributed to the noted cases of suicide, ... view
  • 23 Aug 2016 in National Assembly: Ahsante Naibu Spika wa Muda kwa kunipa nafasi hii. Nachukua nafasi hii kuwapa hongera wanariadha wetu ambao walikuwa Rio. Tunasema ni ahsante kwa walivyofanya. Kweli, wametufanya kuwa na furaha kubwa. Ningependa pia kumrudishia shukrani mwanariadha Rudisha ambaye aliweza kufanya jambo la kipekee ambalo tulilifurahia sana kama Wakenya. Kwa wote walioweza kushiriki, pongezi. Sisi kama viongozi, hatukupenda mambo ya ufisadi yalioendelea na kuwatesa watoto walioenda kule Rio. view
  • 9 Mar 2016 in National Assembly: Thank you. We have only one creator who is God and creation cannot be scientific. It is God who is the creator. view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Nashukuru, Mhe. Naibu Spika wa Muda--- view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Asante, Mhe. Naibu Spika wa Muda. Nashukuru kwa kunipa nafasi hii. Ningependa kuchangia jambo hili la kupata benki ya damu, ama kupata hiyo transfusionservice – Kiswahili kinanipungukia kidogo – ni jambo muhimu na la maana sana katika kaunti zetu. Kile ningesema ni kwamba, kuanzisha chumba cha wagonjwa mahututi ni jambo muhimu sana. Hata hivyo, tuangalie kama tuna sifa, ujuzi na mambo ambayo yanatuwezesha kuanzisha vyumba hivi. Kuanzisha jambo hili katika kila eneo la uwakilishi Bungeni ni vigumu. Ni vigumu kwa sababu gani? Ni vigumu kwa sababu hakuna mahali ambapo tumeanzia. Ni lazima tuanzie mahali maanake hata tukiangalia hospitali nyingi hapa ... view
  • 1 Jul 2015 in National Assembly: Jambo lingine ni kwamba katika eneo la uwakilishi Bungeni au Kaunti ya Makueni ambayo mimi ninatoka, sehemu kubwa inapitiwa na barabara ya Mombasa ambapo kunatokea ajali nyingi sana, na maisha mengi hupotezwa. Hii ni kwa sababu watu wanapopata ajali pale, wengi hupoteza damu na inakuwa ni vigumu kupata nyingine ili wasaidike kimaisha. Kama tungeweza kuwa na huduma hizi katika kaunti zetu, wengi wa watu hawa ambao hupoteza maisha yao wangeokolewa kwa kupata damu kwa haraka. Lingine, ninapomalizia, ni kwamba utekelezaji wa jambo hili ungekuwa ni wa haraka iwapo tungelianzisha katika kaunti kuliko kusema tuazishe katika kila eneo Bunge. Tunaweza kuzungumza ... view
  • 18 Nov 2014 in National Assembly: Asante Mhe. Naibu Spika wa Muda, kwa kunipatia nafasi hii niweze kuchangia katika mada hii. Nashukuru Mhe. Shebesh kwa kuweza kuleta mjadala huu kwa sababu jambo ambalo lilitokea katika nchi yetu ya Kenya lilikuwa ni jambo la huzuni na aibu kwa kina mama. Kusema kweli, kila mtu amesikitishwa na jambo ambalo limetokea kwa wasichana hawa ambao wamevuliwa nguo. Ni vyema tukaangalie ni vipi ambavyo mambo kama haya yameanza kutendeka hasa katika sehemu za umma za kuweza kupanda magari ama watoto view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus