Rose Museo Mumo

Parties & Coalitions

Link

Facebook

Web

0721205028

All parliamentary appearances

Entries 21 to 29 of 29.

  • 18 Nov 2014 in National Assembly: 42 Tuesday 18th November, 2014 wetu mahali wanatembea. Waliofanya kitendo hicho, ni kitendo cha kusikitisha sana. Ni kitendo cha aibu na ndio maana nimesema nichangie kwa Kiswahili wale ambao wako kwa lugha hii ya Kitaifa waweze kuelewa ya kwamba akina mama mioyo yetu inavuja damu kwa kuona watoto wetu wakitendewa vitendo vya unyama ambavyo ni vya kuvuliwa nguo. Ni kama tabia zimeanza kuzorota ama tabia zimeanza kuharibika. Labda inaweza kutokana na ulezi mbaya wa hawa watoto. Kama inavyokusudika ni kwamba mwanamke anafaa kuvuliwa nguo mahali ambapo ni ndani ya chumba kama anaangaliwa na daktari hospitalini ama ni mume wake anamtoa ... view
  • 23 Oct 2014 in National Assembly: Ahsante, Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipatia nafasi hii. Ningependa kuchangia Mswada huu kwa lugha ya taifa kwa sababu jambo hili ni muhimu sana, hasa kwa akina mama wa Makueni na wengine katika nchi ya Kenya. view
  • 23 Oct 2014 in National Assembly: Nimesimama kuunga mkono Mswada huu ambao unahusu Maji. Ningependa kusema kwamba ukosefu wa maji kama Waswahili husema, ni kidonda ndugu ambacho kimekuwa katika nchi yetu ya Kenya kwa muda mrefu, au tangu tujinyakulie Uhuru. view
  • 23 Oct 2014 in National Assembly: Pia, ni jambo ambalo limezungumziwa katika sehemu mbali mbali lakini inaonekana bado hatujapata suluhisho la ukosefu wa maji katika nchi yetu ya Kenya. Ni jambo ambalo si la kupendeza. Hii ni kwa sababu tangu tupate Uhuru mpaka leo, yapata The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 23 Oct 2014 in National Assembly: miaka 51 bado tunazungumzia mambo haya ya maji, hasa katika sehemu za Ukambani, kaskazini mashariki na sehemu nyingine. view
  • 23 Oct 2014 in National Assembly: Sehemu nyingi za nchi zina ukame na watu wengi wanaosumbuka ni akina mama. Ni kwa nini tunazungumza juu ya maji wakati Kenya bado inapata mvua na tunaweza kukusanya haya maji kwa njia mbalimbali? Ni kwa sababu labda mikakati iliyopo yakukusanya haya maji ndiyo imechangia kuweko ukosefu wa maji ya kunyunyizia mimea maji na kupatia wanyama maji. Hii ndiyo sababu ninasema Serikali inafaa kuhakikisha kwamba kila Mkenya ama kila mwananchi anapata maji safi ya kutumia. Inafaa Serikali iweke mikakati mizuri. Wakati mwingi shida inayochangia ukosefu wa maji ni kamati ambazo zinateuliwa wakati maji yamechimbwa. Kamati inapata mafunzo lakini baada ya miaka ... view
  • 15 Oct 2014 in National Assembly: Hon. Temporary Deputy Speaker, thank you for giving me the chance to also add my voice to this debate on the President’s Address. I want, first of all, to fault my colleagues in the CORD Coalition for wanting us not to heed that call by the President. When the President calls us, he is the symbol of unity in this country; I was not in the country, otherwise I would have come despite the call for us not to attend. What the President was telling us was important. We are the representatives of the people and we should have been ... view
  • 15 Oct 2014 in National Assembly: a Jubilee hand in them. We would like to see interventions taking place, so that there is unity and harmony in this country, and devolution takes place in a harmonious manner. I was listening to this Address when I was outside the country and I was very excited to learn that we have reached the status of a middle level economy. With that status, we need to work more in a unified manner to make sure that our economy continues to thrive. We need to support the actions taking place. When we talk about supporting, it does not mean that ... view
  • 23 Apr 2013 in National Assembly: (Hon. (Ms.) Mumo) view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus