Roselinda Soipan Tuya

Parties & Coalitions

Born

1979

Email

soipan@yahoo.com

Telephone

0700923377

All parliamentary appearances

Entries 351 to 360 of 587.

  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hii nzuri sana. Ningependa kuanza kwa kumpongeza Mtoahoja, Mhe. Mohamed Ali Mohamed. Nilipokuwa nikimsikiza akiwasilisha Hoja hii, niliona kwamba alipoingia kwenye siasa, lile jicho lake pevu bado liko pale pale. Nasema hivi kwa sababu amewasilisha Hoja ambayo ameifanyia utafiti wa kutosha na kutupa njia muafaka ambayo kila mmoja ambaye anajali afya ya waliotuchagua kuwa Wabunge wa Bunge la Kitaifa, bila shaka sote tutaunga mkono Hoja hii. Nilipokuwa namsikiza Mhe. Ali na ukiangalia Hoja yake, haiangazii tu hali ya Kaunti ya Mombasa. Mtoahoja ametuelekeza kwa Kifungu cha 25 ... view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Utakuta kuna daktari lakini mgonjwa akitaka kufanyiwa utafiti zaidi analazimika kutoka pale kwa hospitali kupelekwa na jamaa yake kutafuta pahali pa kutoa damu ili ipimwe kwingineko. Kununua dawa, inalazimika atoke kwa hospitali akatafute dawa kwingine. Nafikiri hiyo ni kuonyesha kwamba mipango yetu ama kwa lugha ya Kimombo priority zetu hatuzajiweka vizuri kama nchi. Kifungu cha 43 cha Katiba yetu kinaruhusu ama kuweka wazi ya kwamba kila Mkenya anastahili kuwa na kiwango cha juu zaidi cha afya bora. Ni haki, si ndoto au kitu tunatarajia kupata. Kwa sasa, iko katika ile sehemu tunaita Bill of Rights ambayo kila Mkenya anahitajika kuwa ... view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Hiyo si halali, ni kinyume na Katiba yetu. Hivi juzi, shida ilitokea katika hospitali kuu ya Kenyatta. Watu wakapata shida kule Garissa, Wajir na sehemu nyingi nchini, tumekuwa na shida nyingi za kiafya kama vile shida za akina mama kudhulumiwa kwa njia mbalimbali. Tumaini waliyo nayo ni kutolewa kule waliko wapelekwe katika hospitali kuu ya Kenyatta. Wakati hospitali hiyo inapopata shida, kama kupata “homa” au “kupiga chafya”, Wakenya wote hupata “homa” na kila mmoja anaitegemea hospitali hiyo; pamoja na Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Eldoret. Hatuwezi kuendelea hivi. Umefika wakati ambapo tunafaa kujadiliana na kuliangazia suala la afya kwa ... view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Thank you very much, Hon. Speaker, for giving me this opportunity to also join my colleagues who have spoken before me in congratulating the Leader of the Minority Party for bringing this Motion to the House. Hon. Speaker, this is a new dawn for Kenya. It is a new dawn for a mature democracy like our country. The first thing that came to my mind when I saw our two leaders doing the golden handshake was to look at them as the peace makers that the Bible talks about. The Bible talks about the blessings that are bestowed upon peace ... view
  • 14 Mar 2018 in National Assembly: Hon. Speaker, I ran on a Jubilee ticket. I have always been in the Jubilee Party, and I will always be on that side. In the same house, my husband, who is also a politician, was vying on a NASA ticket. However, we both managed to convince our electorates and we are ably representing them. On that point, that is the same thing I read from what our leaders are saying. We can agree to disagree on certain points. My family is very intact and I can assure Kenyans that Kenya is intact when we see His Excellency President Uhuru ... view
  • 13 Mar 2018 in National Assembly: seconded view
  • 13 Mar 2018 in National Assembly: The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 1 Mar 2018 in National Assembly: seconded view
  • 20 Feb 2018 in National Assembly: Thank you, Hon. Temporary Deputy Speaker. I rise to support this very important policy on climate finance. The benefits for Kenya from the policy direction we are taking have been spoken to by the people who have spoken before me. The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposesonly. A certified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor. view
  • 20 Feb 2018 in National Assembly: First and foremost, the issue of protecting our environment and dealing with the adverse effects of climate change is a direct protection and safeguard of some of the very critical principles of our Constitution of 2010, key of which is the need for us to have a certain minimum threshold of forest cover in our country. Currently, statistics are very dismal. I know we are below two per cent yet the threshold we have set for ourselves, as a nation, stands at 10 per cent. This Policy will go towards supporting our Vision 2030 in terms of increasing our adaptive ... view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus