21 Mar 2018 in National Assembly:
Hon. Kitonga, the Member for Makueni.
view
21 Mar 2018 in National Assembly:
Hon. Ngunjiri, are you on a point of order?
view
21 Mar 2018 in National Assembly:
I know that your point of order on Hon. Otiende’s contribution is overtaken by events, but in terms of definition of whether hacking is a crime or not, I think at this point, let us stick to the contributions on the Bill. The question on what a Member means or the other, one point is that we have to be relevant to the issues that are of concern to the Bill. I am not going to allow, going forward, any issue that you mention that is outside of this discussion.
view
14 Mar 2018 in National Assembly:
Asante sana Mhe. Naibu Spika wa Muda kwa kunipa fursa hii kuchangia Hoja hii nzuri sana. Ningependa kuanza kwa kumpongeza Mtoahoja, Mhe. Mohamed Ali Mohamed. Nilipokuwa nikimsikiza akiwasilisha Hoja hii, niliona kwamba alipoingia kwenye siasa, lile jicho lake pevu bado liko pale pale. Nasema hivi kwa sababu amewasilisha Hoja ambayo ameifanyia utafiti wa kutosha na kutupa njia muafaka ambayo kila mmoja ambaye anajali afya ya waliotuchagua kuwa Wabunge wa Bunge la Kitaifa, bila shaka sote tutaunga mkono Hoja hii. Nilipokuwa namsikiza Mhe. Ali na ukiangalia Hoja yake, haiangazii tu hali ya Kaunti ya Mombasa. Mtoahoja ametuelekeza kwa Kifungu cha 25 ...
view
14 Mar 2018 in National Assembly:
Utakuta kuna daktari lakini mgonjwa akitaka kufanyiwa utafiti zaidi analazimika kutoka pale kwa hospitali kupelekwa na jamaa yake kutafuta pahali pa kutoa damu ili ipimwe kwingineko. Kununua dawa, inalazimika atoke kwa hospitali akatafute dawa kwingine. Nafikiri hiyo ni kuonyesha kwamba mipango yetu ama kwa lugha ya Kimombo priority zetu hatuzajiweka vizuri kama nchi. Kifungu cha 43 cha Katiba yetu kinaruhusu ama kuweka wazi ya kwamba kila Mkenya anastahili kuwa na kiwango cha juu zaidi cha afya bora. Ni haki, si ndoto au kitu tunatarajia kupata. Kwa sasa, iko katika ile sehemu tunaita Bill of Rights ambayo kila Mkenya anahitajika kuwa ...
view
14 Mar 2018 in National Assembly:
Hiyo si halali, ni kinyume na Katiba yetu. Hivi juzi, shida ilitokea katika hospitali kuu ya Kenyatta. Watu wakapata shida kule Garissa, Wajir na sehemu nyingi nchini, tumekuwa na shida nyingi za kiafya kama vile shida za akina mama kudhulumiwa kwa njia mbalimbali. Tumaini waliyo nayo ni kutolewa kule waliko wapelekwe katika hospitali kuu ya Kenyatta. Wakati hospitali hiyo inapopata shida, kama kupata “homa” au “kupiga chafya”, Wakenya wote hupata “homa” na kila mmoja anaitegemea hospitali hiyo; pamoja na Hospitali ya Rufaa na Mafunzo ya Eldoret. Hatuwezi kuendelea hivi. Umefika wakati ambapo tunafaa kujadiliana na kuliangazia suala la afya kwa ...
view
14 Mar 2018 in National Assembly:
Thank you very much, Hon. Speaker, for giving me this opportunity to also join my colleagues who have spoken before me in congratulating the Leader of the Minority Party for bringing this Motion to the House. Hon. Speaker, this is a new dawn for Kenya. It is a new dawn for a mature democracy like our country. The first thing that came to my mind when I saw our two leaders doing the golden handshake was to look at them as the peace makers that the Bible talks about. The Bible talks about the blessings that are bestowed upon peace ...
view
14 Mar 2018 in National Assembly:
Hon. Speaker, I ran on a Jubilee ticket. I have always been in the Jubilee Party, and I will always be on that side. In the same house, my husband, who is also a politician, was vying on a NASA ticket. However, we both managed to convince our electorates and we are ably representing them. On that point, that is the same thing I read from what our leaders are saying. We can agree to disagree on certain points. My family is very intact and I can assure Kenyans that Kenya is intact when we see His Excellency President Uhuru ...
view
13 Mar 2018 in National Assembly:
The electronic version of the Official Hansard Report is for information purposes only. Acertified version of this Report can be obtained from the Hansard Editor.
view