Kazungu Kambi

Full name

Samuel Kazungu Kambi

Born

12th February 1962

Post

P. O. Box 42710-00100 Nairobi

Email

kazungu@rivolis.co.ke

Telephone

0722675675

All parliamentary appearances

Entries 621 to 630 of 675.

  • 2 Sep 2009 in National Assembly: Kazi kubwa ya mhe. Mbunge ni kuwakilisha watu wake hapa Bungeni na nje ya Bunge hili. Ukija hapa Bungeni, ni lazima uchukue mambo yanayoendelea hapa na kwenda kuyajadili na watu wako wakati wa likizo. Ni kutokana na majadiliano hayo ambapo tutapitisha sheria za kuwasaidia wananchi wa nchi hii. Ikiwa tutaendelea kuketi hapa bila kwenda mashinani, hapa Bungeni tutakuwa tunawakilisha akina nani? Hoja tuliyonao hapa ni kuhusu likizo. view
  • 2 Sep 2009 in National Assembly: Bw. Naibu wa Spika, Hoja ya leo ni kuhusu likizo. view
  • 2 Sep 2009 in National Assembly: Bw. Naibu wa Spika, kwenda mashinani kila wiki si kusema ya kuwa unafanya majadiliano nao kuhusu mambo muhimu yanayowahusu. Hoja ya leo ni kuhusu likizo. Kama mhe. Mbunge anataka sisi tumjadili Jaji Ringera, basi alete Hoja maalum juu yake. Wakati huu tunajadili mjadala wa kwenda nyumbani. Kwa hayo machache, ninaunga mkono Hoja hii. view
  • 21 Jul 2009 in National Assembly: Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir, if the Ministry asked for a valuation report, what was the intention? view
  • 24 Jun 2009 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, while we appreciate the answer that the Prime Minister has given to this House, the contract, which was entered between M/s Intertek view
  • 24 Jun 2009 in National Assembly: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 24 Jun 2009 in National Assembly: On a point of order, Mr. Speaker, Sir. view
  • 24 Jun 2009 in National Assembly: Mr. Speaker, Sir, I appreciate the answer by the Prime Minister. However, the document the Prime Minister is promising to bring on Wednesday is the same one I already laid on the Table. view
  • 17 Jun 2009 in National Assembly: Thank you, Mr. Temporary Deputy Speaker, Sir for giving me this opportunity to contribute to this very important Motion. view
  • 17 Jun 2009 in National Assembly: I also want to join my colleagues in congratulating the Minister for Finance for a very wonderful budget. In the political circles, both local and international, they say this is the best Budget ever seen in sub-Saharan Africa. It is one of the best budgets. view

Comments

(For newest comments first please choose 'Newest' from the 'Discussion' tab below.)
comments powered by Disqus